R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 May 16, 2021 #21 Its Pancho said: Sasa kama mmebamizwa mnataka tuumie? Tatizo mlikuwa mnaongea sana poleni kwa kupelekewa moto na wazulu Click to expand... Mnatafuta faraja kwa timu nyingine sababu timu yenu inashindwa kuwapa faraja inabidi tuwaonee huruma
Its Pancho said: Sasa kama mmebamizwa mnataka tuumie? Tatizo mlikuwa mnaongea sana poleni kwa kupelekewa moto na wazulu Click to expand... Mnatafuta faraja kwa timu nyingine sababu timu yenu inashindwa kuwapa faraja inabidi tuwaonee huruma
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 May 16, 2021 #22 rodrick alexander said: Mnatafuta faraja kwa timu nyingine sababu timu yenu inashindwa kuwapa faraja inabidi tuwaonee huruma Click to expand... Kweli sasa hivi kaizer ndio wanawapapasa wanawapa faraja Umesema vyema
rodrick alexander said: Mnatafuta faraja kwa timu nyingine sababu timu yenu inashindwa kuwapa faraja inabidi tuwaonee huruma Click to expand... Kweli sasa hivi kaizer ndio wanawapapasa wanawapa faraja Umesema vyema
S siasa ms JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 1,821 Reaction score 3,142 May 16, 2021 #23 Umekutana na boya pia huu mchezo hauhitaji hasira
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 May 17, 2021 #24 Siasa mbaya sana said: Umekutana na boya pia huu mchezo hauhitaji hasira Click to expand... ila kuna mambo mengine yanashangaza sana. Yaani unaangalia mpira huku unasikiliza redio na bado unaamini wewe sio boya?
Siasa mbaya sana said: Umekutana na boya pia huu mchezo hauhitaji hasira Click to expand... ila kuna mambo mengine yanashangaza sana. Yaani unaangalia mpira huku unasikiliza redio na bado unaamini wewe sio boya?