rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mnatafuta faraja kwa timu nyingine sababu timu yenu inashindwa kuwapa faraja inabidi tuwaonee hurumaSasa kama mmebamizwa mnataka tuumie?
Tatizo mlikuwa mnaongea sana poleni kwa kupelekewa moto na wazulu