Tabia ya Kususasusa ni sehemu ya Sera ya CHADEMA. Nawashauri wasusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025

waendelee kususa ccm hatutumii nguvu tunawaambia wanachama wachache wakapige kura
Sio kususa bali ni kupuuza chaguzi za kishenzi. Sio CCM muwaambie wanachama wachache, nyie huwa mna wapiga kura wachache maana CCM sio chama cha kizazi hiki. Ila wapinzani wakishiriki nyie ndio huwa mnajitangaza washindi wa kura kibao ambao sio zenu. Hao wachache ndio huwa kura zenu miaka yote.
 
Susieni ruzuku tuwape ACT Wazalendo
Kwani nani anajipendekeza na hizo ruzuku? Isitoshe ruzuku sio fedha za CCM, bali ni kodi zetu wananchi. Hao ACT muwape ruzuku mara ngapi? Si mko nao kwenye uchaguzi wa Mbarali, mbona hamtupatii hata updates ya halaiki zinazojitokeza kuwasikiliza? Lakini wangekuwepo cdm, mngaweka hadi watu wa kupotosha na kuipamba CCM.
 
Litakuwa jambo jema sana aisee naombea iwe hivyo
Sio kwamba unaomba kwa bahati mbaya, ukweli ni kuwa hamna uwezo tena wa kushindana kihalali, hivyo mkiachiwa goli wazi lazima mfurahi maana ushindani wa kweli umeshawashinda.
 
Una mawazo ya kitoto, unahitaji kukua na kupevuka kiakili
 
Sioni ubaya kususia ujinga, ila namshangaa mjinga anayewashangaa wanaofanya hivyo.
 
Mumemzunguka Lisu 😁😁
 
Una mawazo ya kitoto, unahitaji kukua na kupevuka kiakili
🀣🀣🀣
 
Ni vema ukawashauri mashoga wenzio wagome kukutana na mabasha!! Hii itawafanya muweze kufikiri kama wanaume halisi
 
October 25,2025 zamu ya hawa πŸ€ kususa mixer kuzira.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸ€ΈπŸ€Έ
 
binafsi naunga mkonyo hoja wasuse uchaguzi wa 2024 na wasuse 2025 tuone wao ni muhimu zaidi ya Tanzania
 
Ccm ilikuwa kwa ajili ya uhuru.Inahitajika Chama kingine kije kuleta maendeleo. Huoni Magufurialivyo iweka ccm nyuma yeye mbele Hadi tulifika uchumi wa kati.
 
Nimeamini CDM ina umuhimu wake wao kususa tu, wanao lalamika ni wengine.
Iliyopaswa kulalamika ni CDM kwa kujitenga kwao au maoni yao hayafanyiwi kazi sio waliobaki kwenye maridhiano ndo walalamike!

Kama kuna jambo linaweza kufanyika bila CDM lifanyike tu kelele za kususa ni za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…