Tabia ya Kususasusa ni sehemu ya Sera ya CHADEMA. Nawashauri wasusie na Uchaguzi Mkuu wa 2025

waendelee kususa ccm hatutumii nguvu tunawaambia wanachama wachache wakapige kura
Sio kususa bali ni kupuuza chaguzi za kishenzi. Sio CCM muwaambie wanachama wachache, nyie huwa mna wapiga kura wachache maana CCM sio chama cha kizazi hiki. Ila wapinzani wakishiriki nyie ndio huwa mnajitangaza washindi wa kura kibao ambao sio zenu. Hao wachache ndio huwa kura zenu miaka yote.
 
Susieni ruzuku tuwape ACT Wazalendo
Kwani nani anajipendekeza na hizo ruzuku? Isitoshe ruzuku sio fedha za CCM, bali ni kodi zetu wananchi. Hao ACT muwape ruzuku mara ngapi? Si mko nao kwenye uchaguzi wa Mbarali, mbona hamtupatii hata updates ya halaiki zinazojitokeza kuwasikiliza? Lakini wangekuwepo cdm, mngaweka hadi watu wa kupotosha na kuipamba CCM.
 
Litakuwa jambo jema sana aisee naombea iwe hivyo
Sio kwamba unaomba kwa bahati mbaya, ukweli ni kuwa hamna uwezo tena wa kushindana kihalali, hivyo mkiachiwa goli wazi lazima mfurahi maana ushindani wa kweli umeshawashinda.
 
Una mawazo ya kitoto, unahitaji kukua na kupevuka kiakili
 
Sioni ubaya kususia ujinga, ila namshangaa mjinga anayewashangaa wanaofanya hivyo.
 
Ni ukhanithi kama ukhanithi mwingine kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi ili uonekane haususi. CDM haina tatizo na kushindwa kwenye uchaguzi halali, lakini itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kuendelea kushiriki chaguzi zisizoheshimiwa ili kuipa uhalali CCM kuwa imechaguliwa na wananchi.

CDM wamefanya kitu sahihi ili kuonyesha umma idadi ya kura wanazopataga CCM. Fuatilia uchaguzi mdogo wa Mbarali uone uchaguzi ulivyododa kisa CDM hawashiriki. Na hao watakaojitokeza ndio hizo kura ambazo CCM huwa wanapataga, kisha kupora za CDM. Mnaona aibu maana CDM wamesusia chaguzi, na hatimaye chaguzi zimeonekana ni za kipuuzi tu. Nitawashangaa sana CDM iwapo watakubali kushiriki uchaguzi wa 2024/25 iwapo bado mazingira ni haya haya.
Mumemzunguka Lisu 😁😁
 
Una mawazo ya kitoto, unahitaji kukua na kupevuka kiakili
🤣🤣🤣
 
CHADEMA kimekuwa ni chama cha kususasusa na kununa hovyo kanakwamba huko kumejaa watoto.

Wamesusia vitu vingi sana mfano; Chaguzi zote ndogo za Udiwani na Ubunge eg, Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali. Aidha huwa Wanasiasa kuingia kwenye mashauriano ya masuala ya Katiba na Demokrasia nk.

Sasa hivi kuna mswaada wa mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Tume Huru, wakati vyama vingine vikikubali kutoa maoni wao wamesusa ili baadae wasubirie kulalamika.

Binafsi napenda sana CHADEMA wasusie Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024 na mwaka 2025 ili sasa tujue kama kweli nyie ni miamba.

Mwisho kwa kuwa mumewasusa hadi kina Halima na kundi lake Covid 19 ingefaa mususie na ruzuku ili Serikali iwape vyama vingine.

My Take
CHADEMA ina watu wa hovyo sana 😆😆View attachment 2748615
Ni vema ukawashauri mashoga wenzio wagome kukutana na mabasha!! Hii itawafanya muweze kufikiri kama wanaume halisi
 
CHADEMA kimekuwa ni chama cha kususasusa na kununa hovyo kanakwamba huko kumejaa watoto.

Wamesusia vitu vingi sana mfano; Chaguzi zote ndogo za Udiwani na Ubunge eg, Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali. Aidha huwa Wanasiasa kuingia kwenye mashauriano ya masuala ya Katiba na Demokrasia nk.

Sasa hivi kuna mswaada wa mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Tume Huru, wakati vyama vingine vikikubali kutoa maoni wao wamesusa ili baadae wasubirie kulalamika.

Binafsi napenda sana CHADEMA wasusie Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024 na mwaka 2025 ili sasa tujue kama kweli nyie ni miamba.

Mwisho kwa kuwa mumewasusa hadi kina Halima na kundi lake Covid 19 ingefaa mususie na ruzuku ili Serikali iwape vyama vingine.

My Take
CHADEMA ina watu wa hovyo sana 😆😆View attachment 2748615
October 25,2025 zamu ya hawa 🍀 kususa mixer kuzira.😂😂🏃🏃🤸🤸
 
binafsi naunga mkonyo hoja wasuse uchaguzi wa 2024 na wasuse 2025 tuone wao ni muhimu zaidi ya Tanzania
 
Ccm ilikuwa kwa ajili ya uhuru.Inahitajika Chama kingine kije kuleta maendeleo. Huoni Magufurialivyo iweka ccm nyuma yeye mbele Hadi tulifika uchumi wa kati.
 
Nimeamini CDM ina umuhimu wake wao kususa tu, wanao lalamika ni wengine.
Iliyopaswa kulalamika ni CDM kwa kujitenga kwao au maoni yao hayafanyiwi kazi sio waliobaki kwenye maridhiano ndo walalamike!

Kama kuna jambo linaweza kufanyika bila CDM lifanyike tu kelele za kususa ni za nini?
 
Back
Top Bottom