Tabia ya kutembea na wanawake wengi ni dalili ya ugonjwa wa akili

Tabia ya kutembea na wanawake wengi ni dalili ya ugonjwa wa akili

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo

Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.

Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium yanasababisha control centre ya ubongo kuwa dhaifu hence unakosa uwezo wa uamuzi.

Kitendo cha m wanaume kupenda kulala na wanawake wengi, wengi ni ukosefu wa akili, ni dalili kwamba ubongo wako hauko sawa. Ni ugonjwa. Unahitaji matibabu.

Ubongo wenye afya unakuwa na control centre yenye nguvu. Huwezi kuburuzwa na kila mwanamke. Kama una Tabia hizi, jitahidi kuwaona Wataalam wa ubongo

Tena hii tabia ya m wanaume mmoja kulala na wanawake wengi wengi iko Africa sana, mabara mengine sio sana
 
Watakuuliza Suleiman alikuwa mgonjwa wa akili? Sio imenenwa ndiye binadamu aliyewahi kuwa na hekima zaidi? Tena kwamba kabla na baada yake hatatokea wa mfano wake kwa hekima?
 
Back
Top Bottom