Tabia ya kutembea na wanawake wengi ni dalili ya ugonjwa wa akili

Wewe lazima utakuwa mgalatia ungekuwa mvaa kobazi usinge bwabwaja haya.
Hakuna mahali penye biblia panapoongelea mke mmoja.
Nenda kwenye zizi la ng'ombe dume moja linahudumia majike 20
Mwanamke au wewe ukitoa mbegu za kiume zinatoka millioni 300 mwanamke ni yai moja tu

Angalia sana mababu zetu waliooa wake zaidi ya mmoja waliishi maisha marefu lakini sis siku hizi tunakata uzi mapema hawa wakina dada ukishaanza kuzeeka wanahamishia mapenzi kwa watoto wao take care.

Ibrahim angekuwa na mke mmoj si ajabu wewe usingekuwepo duniani
 
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo

Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.

Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium yanasababisha control centre ya ubongo kuwa dhaifu hence unakosa uwezo wa uamuzi.

Kitendo cha m wanaume kupenda kulala na wanawake wengi, wengi ni ukosefu wa akili, ni dalili kwamba ubongo wako hauko sawa. Ni ugonjwa. Unahitaji matibabu.

Ubongo wenye afya unakuwa na control centre yenye nguvu. Huwezi kuburuzwa na kila mwanamke. Kama una Tabia hizi, jitahidi kuwaona Wataalam wa ubongo

Tena hii tabia ya m wanaume mmoja kulala na wanawake wengi wengi iko Africa sana, mabara mengine sio sana
Kwahiyo unataka kusema kuwa watanzania wengi watakuwa hawana akili...
 
Watakuuliza Suleiman alikuwa mgonjwa wa akili? Sio imenenwa ndiye binadamu aliyewahi kuwa na hekima zaidi? Tena kwamba kabla na baada yake hatatokea wa mfano wake kwa hekima?
ukikisoma kitabu cha MHUBIRI ambacho alikiandika Sulemani utagundua naye alikuwa na tatizo la ubongo. Soma uone alivyosema "kila kitu ni ubatili mtupu" na kujilisha upepo.

YESU NDIYE KRISTO
 
Kwamba mfalme Suleiman alikuwa
dishi limeyumba!? Maake tunaambiwa alikuwa bingwa wa kuwakaza wanawake
1 Wafalme 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
⁴ Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake.
⁵ Kwa kuwa Sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni.
⁶ Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, wala hakumfuata Bwana kwa utimilifu, kama Daudi baba yake.
⁷ Sulemani akamjengea Kemoshi, chukizo la Wamoabi, mahali pa juu, katika mlima uliokabili Yerusalemu, na Moleki, chukizo la wana wa Amoni.
⁸ Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wa nchi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.
⁹ Basi Bwana akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha Bwana, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
¹⁰ akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru Bwana.
¹¹ Kwa hiyo Bwana akamwambia Sulemani, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, na sheria zangu nilizokuamuru, hakika nitaurarua ufalme usiwe wako, nami nitampa mtumishi wako.
 
Huo ni ushahidi kuwa huyu mutu hakuwa na akili nzuri.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Wewe lazima utakuwa mgalatia ungekuwa mvaa kobazi usinge bwabwaja haya.
Hakuna mahali penye biblia panapoongelea mke mmoja.
Nenda kwenye zizi la ng'ombe dume moja linahudumia majike 20
Mwanamke au wewe ukitoa mbegu za kiume zinatoka millioni 300 mwanamke ni yai moja tu

Angalia sana mababu zetu waliooa wake zaidi ya mmoja waliishi maisha marefu lakini sis siku hizi tunakata uzi mapema hawa wakina dada ukishaanza kuzeeka wanahamishia mapenzi kwa watoto wao take care.

Ibrahim angekuwa na mke mmoj si ajabu wewe usingekuwepo duniani
1 Wakorintho 7 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
 
Mwanaume kaumbwa kutomb* tena na tena na tenaa... There is power in kutom*a kwa mwanaume.

Kufanya sana kwa mwanaume inaondoa risk ya kupata tezi dume.
Sio kweli. Angalia kwenu kama baba/babu alikuwa nayo, kuikwepa ni mpaka uwe muombaji haswa.
 
ukikisoma kitabu cha MHUBIRI ambacho alikiandika Sulemani utagundua naye alikuwa na tatizo la ubongo. Soma uone alivyosema "kila kitu ni ubatili mtupu" na kujilisha upepo.

YESU NDIYE KRISTO
Rejea hayo maneno "KILA KITU". Yanamhusu yeye tu au kila mtu? Yanahusu kuwa na wanawake wengi tu au kila kitu?

Mbona maneno hayo yanaonesha utimamu wa akili wa Suleiman kuliko kunyume chake? Kama kwa maneno hayo ni tatizo la ubongo, sijui wengine tukoje.
 
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo

Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.

Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium yanasababisha control centre ya ubongo kuwa dhaifu hence unakosa uwezo wa uamuzi.

Kitendo cha m wanaume kupenda kulala na wanawake wengi, wengi ni ukosefu wa akili, ni dalili kwamba ubongo wako hauko sawa. Ni ugonjwa. Unahitaji matibabu.

Ubongo wenye afya unakuwa na control centre yenye nguvu. Huwezi kuburuzwa na kila mwanamke. Kama una Tabia hizi, jitahidi kuwaona Wataalam wa ubongo

Tena hii tabia ya m wanaume mmoja kulala na wanawake wengi wengi iko Africa sana, mabara mengine sio sana
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo

Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.

Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium yanasababisha control centre ya ubongo kuwa dhaifu hence unakosa uwezo wa uamuzi.

Kitendo cha m wanaume kupenda kulala na wanawake wengi, wengi ni ukosefu wa akili, ni dalili kwamba ubongo wako hauko sawa. Ni ugonjwa. Unahitaji matibabu.

Ubongo wenye afya unakuwa na control centre yenye nguvu. Huwezi kuburuzwa na kila mwanamke. Kama una Tabia hizi, jitahidi kuwaona Wataalam wa ubongo

Tena hii tabia ya m wanaume mmoja kulala na wanawake wengi wengi iko Africa sana, mabara mengine sio sana
Peleka moto wapelekee moto
 
Rejea hayo maneno "KILA KITU". Yanamhusu yeye tu au kila mtu? Yanahusu kuwa na wanawake wengi tu au kila kitu?

Mbona maneno hayo yanaonesha utimamu wa akili wa Suleiman kuliko kunyume chake? Kama kwa maneno hayo ni tatizo la ubongo, sijui wengine tukoje.
jisomee kitabu cha MHUBIRI, utagundua mengi. Anzia na kitabu cha 1WAFALME mlango wa 11 wote

JEUSUS IS MESSIAH
 
Back
Top Bottom