[emoji125][emoji125][emoji125]Ndio kiwanda chake,kokote aendako anacho hakiachi mahali[emoji4]
Mkuu mambo ya kule yaache hukohuko please.
Afu hujaikemea tabia hiyo balibumeileta wewe hapa JF hata kwa wasio na Instagram umewaambia wewe.
Vya mitaa hiyo vibaki hukohuko na vya mtaa huu vibaki hapa.
Nitarudi.
Lazima unalo tu, maana vimbaumbau huwa wagumu kusifia.Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
Nipo bosslady wangu
Kuwa nalo mchezo. Sina hata sema napendaga tu wowowo [emoji23][emoji23]Lazima unalo tu, maana vimbaumbau huwa wagumu kusifia.
Ah wapi. Uko vyema, lipo.Kuwa nalo mchezo. Sina hata sema napendaga tu wowowo [emoji23][emoji23]
Kwema sana. Missing you!
Miss you very april, may and june....