Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Mkuu mambo ya kule yaache hukohuko please.

Afu hujaikemea tabia hiyo balibumeileta wewe hapa JF hata kwa wasio na Instagram umewaambia wewe.

Vya mitaa hiyo vibaki hukohuko na vya mtaa huu vibaki hapa.


Nitarudi.

Ndugu upo??? Long time aiseee...
 
hii ni kutokana na wanaume wengi zama hizi kupenda matako makubwa kitu kinachopelekea wadada waliojaaliwa kutulingishia....kama njia ya kutushawishi......
na tunashawishika kwa kweli... watingishe tuu....😛😛😛
 
kuna huyu kuanzia 0:25 mpaka 01:13 ndo best kabisa.

Wa bongo huyu??? Name Please kwa anaemfahamu ???
 
Back
Top Bottom