Tabia ya kuumiza, kutesa na kuua watu wasiokuwa na hatia ni chukizo kwa Muumba wetu. Maasi yanapozidi, Mungu hutoa adhabu kali kwa hilo Taifa.
Kwa sasa ni kawaida sana kusikia mtu katekwa, kateswa na hata kuuawa na watu wasiojulikana na wengine wanajitambulisha kuwa ni polisi ila hakuna jitihada za makusudi za kuwakamata wanaotesa na kuua. Nguvu ya kukemea nayo imepoa mno.
Maasi ya kila namna yanafanyika kila siku. Hadi ushoga nao umekuwa jambo la kawaida sana.
Maasi yakizidi, Mungu hutoa adhabu Kali.
Tumejiandaaje kupokea hasira za Mungu.
Kumbuka zaidi ya masaa 18 sasa familia ya Mdude wapo kwenye maumivu makali.