KERO Tabia ya kuvujisha taarifa za Watumishi wa Umma kwa Taasisi za mikopo ikomeshwe na hatua zichukuliwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni nani anayevujisha taarifa za Watumishi kwenda kwa taasisi za mikopo, maana leo nimetumiwa taarifa za mtumishi kupitia SMS zenye check number, password yake.

Nilimpigia ili kujua ni wapi katoa namba yangu, na ni nani yeye? Walijitambulisha kama FANIKIWA MICROFINNANCE na walitoa namba zangu kutoka kwenye kifumo ya Utumishi.

Baada ya hapo nilipokea tena jumbe za SMS nne kutoka namba ngeni mpya tofauti zikihamasisha nikope kwao.

Je hiyo taasisi haina namba ya ofisi? Vipi kuhusu utunzwaji wa taarifa za wateja waliokopa upo salama kama kila mtumishi anatumia simu binafsi kumtafuta mteja au kushawishi wateja.

Screenshot_20260214_123754.jpg
 
Noma unaonekana wewe ni bingwa wa kulipa madeni ndio maana ungekua haulipi usingetafutwa ukope yaan wamekugundua wewe ni sehemu ya ulaji
 
Ni nani anayevujisha taarifa za Watumishi kwenda kwa taasisi za mikopo, maana leo nimetumiwa taarifa za mtumishi kupitia SMS zenye check number, password yake.

Nilimpigia ili kujua ni wapi katoa namba yangu, na ni nani yeye? Walijitambulisha kama FANIKIWA MICROFINNANCE na walitoa namba zangu kutoka kwenye kifumo ya Utumishi.

Baada ya hapo nilipokea tena jumbe za SMS nne kutoka namba ngeni mpya tofauti zikihamasisha nikope kwao.

Je hiyo taasisi haina namba ya ofisi? Vipi kuhusu utunzwaji wa taarifa za wateja waliokopa upo salama kama kila mtumishi anatumia simu binafsi kumtafuta mteja au kushawishi wateja.

View attachment 3543619
Kapewa na afisa utumishi
 
Back
Top Bottom