HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani???
Ebu tusitarabike basi