HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Je unakula muda huu??
Nani amekupigia simu wakati unakulko
Jiheshomu na acha kiherehere na mihemko siyo kila hoja humu unarukia na kichangia ujinga wako yafuta kazi za kufanya kama huna kazi upinde weweJe unakula muda huu??
Nani amekupigia simu wakati unakula??
Yeah ni sahihi, kula ni ibada, hvyo imekuwa na ustaarabu mwingi tofauti tofauti kulingana na desturi na Mila za mahali husika(nchi, TAIFA, kabisa na teknolojia).Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani???
Ebu tusitarabike basi
Ndiyo mara ya kwanza nampigia baada ya kupewa namba yake lakini nilichokutana nacho ni kuongea huku linatafuna chakula huku akiwa ofisini,tabia hii inakera sana na kuleta picha ya kutokuwa serious au mtu wa ovyoovyo kwa upande wa piliHuyo anakuchukulia poa au mmezoeana tu, ila usifikiri kila simu atapokea hivyo.
Sidhani kama kuna taifa lenye mila ya kishenzi kama hiyo na kama wewe unatabia hiyo basi utambue ni ushenzi,mataifa mengi yanasisitiza nidhamu na utii wakati wa chakula (table manners).Yeah ni sahihi, kula ni ibada, hvyo imekuwa na ustaarabu mwingi tofauti tofauti kulingana na desturi na Mila za mahali husika(nchi, TAIFA, kabisa na teknolojia).
Hvyo Kila sehemu na ustaarabu wao.
My take: hayo ni maoni yako, yaheshimiwe na desturi yako, ila syo kwa kila mtu.
Kwanini mfano ni wa wasukuma πAhahahahaha nimevuta taswira....
Simu inaita, huku ana matonge matatu mdomoni akiyatafuna, simu inaita....
Anapokea ..... halooo,haloooo pata picha ni lafudhi ya kisukuma ile unaongea kwa kutumia nguvu.....
Mwangaluka wanne, wamishakola mayoo, ulihooo sasa hapo anaongea huku chakula amekibana kwenye mashavu huku anaendelea kutafuna na kumeza halafu anaachama mdomo wote wazi chembe za chakula zinadondoka na kuruka mbele mezani halafu kuna namna watu huwa wanafanya kutoa mabaki ya chakula kwenye fizi kwa kuchezesha mdomo na kutumia ulimi hapo anaachama mdomo wote waziiii
Halafu ndo uwe unakula mbele ya huyu jamaa na ketone kimojq cha chakula kinarukia kwenye sahani yako....
Endelea kuvuta taswira nyingine....
Kwanini mfano ni wa wasukuma π
π utakuja upigwe na kina Mbaga JrAahahahhaaa binamu zangu hawa, sina baya nao ππππ.
Wananielewa Kasinde mnyamwezi wa Igunga π.
Sasa vuta taswira nyingine anayeongea ni mpare halafu anaongea kilugha chao (chathuu) zile theetheethee anapoongea halafu chembe za chakula zinatoka mdomoni kurukia mezani au kwenye sahani ya jirani...
thikija nkuvwrireee.... harikaaa.... hethina mburiii ππππ
Asiisome Mshana Jr π .
Babu yupi huyoAtanitetea babu kabla mjukuu wake sijapigwa virungu ππ.