naam
katika awamu hii mambo mengi ambayo raia wa kawaida ilikua ni nadra sana kuyajua au ni vigumu kuyajua imekuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia..
najua kila nchi huwa inataratibu zake za ulinzi na namna ya kupata taarifa muhimu zitakazoisaidia nchi katika masuala mbalimbali ya kiuchumi,kisiasa na naweza sema pia ulinzi kutoka kwa wananchi wake .. taarifa hizi siyo kwamba zinapatikana kwa njia ya kawaida kama watu wanavyodhani ndio ni kawaida ila katika hali ya ugumu fulani kupitia kitengo maalumu cha watu walioapa na kutunza siri kwa watakachokiona na kusikia na kumwamini kiongozi wao aliewaagiza tu..
mara nyingi kazi hizi huwa ni siri sana maana ukigudulika utakuwa umejipotezea sifa na marafiki napia itakuweka katika wakati mgumu kuitwa wewe ni snitch utatengwa.. sasa nawaza hivi hii tabia ya kuwataja kwa majina viongozi na watu wanaofanya katika idara ya usalama wa Taifa ni kutokujua miiko au?? au ni kujengeana hofu ya kutokumuamini jirani yako na hata kama ni hivyo usalama wao na maisha yao ya kawaida yatakuwaje baada ya kuwataja... jamani naamini hata wao hawataki ila hakuna namna nawasilisha