Tabia ya Rais kuwataja kwa majina TISS ni kutokujua miiko au ni sifa?

Tabia ya Rais kuwataja kwa majina TISS ni kutokujua miiko au ni sifa?

Dangerous trend by the presidaa.

Uki blow cover ya mtu wa secret service, it is no longer secret a service na unamuweka individual mahali pabaya.
 
naam
katika awamu hii mambo mengi ambayo raia wa kawaida ilikua ni nadra sana kuyajua au ni vigumu kuyajua imekuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia..
najua kila nchi huwa inataratibu zake za ulinzi na namna ya kupata taarifa muhimu zitakazoisaidia nchi katika masuala mbalimbali ya kiuchumi,kisiasa na naweza sema pia ulinzi kutoka kwa wananchi wake .. taarifa hizi siyo kwamba zinapatikana kwa njia ya kawaida kama watu wanavyodhani ndio ni kawaida ila katika hali ya ugumu fulani kupitia kitengo maalumu cha watu walioapa na kutunza siri kwa watakachokiona na kusikia na kumwamini kiongozi wao aliewaagiza tu..
mara nyingi kazi hizi huwa ni siri sana maana ukigudulika utakuwa umejipotezea sifa na marafiki napia itakuweka katika wakati mgumu kuitwa wewe ni snitch utatengwa.. sasa nawaza hivi hii tabia ya kuwataja kwa majina viongozi na watu wanaofanya katika idara ya usalama wa Taifa ni kutokujua miiko au?? au ni kujengeana hofu ya kutokumuamini jirani yako na hata kama ni hivyo usalama wao na maisha yao ya kawaida yatakuwaje baada ya kuwataja... jamani naamini hata wao hawataki ila hakuna namna nawasilisha
View attachment 1057255
Magufuli ana akili sana. Katika makundi ambayo ni untouchables ni Polisi na TISS katika rushwa. Amemtaja makusudi ili nao wajue kuwa kwanza Diwani bado Polisi na anaweza at any moment akamnyaka Polisi bila kutoa taarifa kwa IGP. Aidha anaondoa ili kinga ya watu wa usalama wa taifa kuwa akinyakwa lazima mkuu wa TISS atoe kibali! Kwa vile ni TISS anadeal naye kama afisa wake. Magu ana akili sana
 
Yeye ndo kakwambia anamaanisha hivyo, mbona una kiherehere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa rais mpenda KIKI hadi anatamani aitwe MALAIKA, haona taabu kuwataja TISS hadharani. Yeye anaona sifa lakini, in reality,anaharibu big time.
Kuwa raisi tu....ni kiki tosha....
kila afanyacho ni habari.....
 
Kwani mbona TISS huku kwetu wanafichwaa kama Ni ugonjwaa akati Mbele kama marekani wanavaa na kitambulisho kabisaa...???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani katajwa wapi?, alaf Rais kama mkuu wa nchi, mkuu wa majeshi, mkuu wa serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama, hapangiwi nini aseme na nini asiseme.
Team JPM, post: 30918201, member: 520166
Hatari sana njaa inapohamia kichwani.
 
Kwani TISS na POLISI awali hawakukamatwa na PCCB? hivi hujui PCCB jeshi Fulani ambalo lipo full mikoba maana Kuna mdau wangu 1 huwa anaondoka kimya kimya kwenda mafunzo huko mavikosi ya jeshi miezi akirudi anadai alikuwa likizo kijijini
Magufuli ana akili sana. Katika makundi ambayo ni untouchables ni Polisi na TISS katika rushwa. Amemtaja makusudi ili nao wajue kuwa kwanza Diwani bado Polisi na anaweza at any moment akamnyaka Polisi bila kutoa taarifa kwa IGP. Aidha anaondoa ili kinga ya watu wa usalama wa taifa kuwa akinyakwa lazima mkuu wa TISS atoe kibali! Kwa vile ni TISS anadeal naye kama afisa wake. Magu ana akili sana
 
Nimesoma
Kiapo kinasema hatatoa siri na mm nina kiapo kama hicho kwa idara nyingine. Hakisemi kua hatajitangaza au kutangazwa kuwa yeye ni TISS. Sijaona kosa la prezdaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni hofu tu mliyonayo kwa tuhuma mlizonazo. Diwani anapaswa kutumia ujuzi, mafunzo na uzoefu wa TISS kukomesha rushwa. Diwani kwa sasa yupo nje ya majukumu ya TISS hivyo kumtaja hakuna madhara. Mbona Membe mnamtaja kila Mara, Rais akitaja ndo kosa?, ="Kinyungu, post: 30918411, member: 10100"]Kumbe hapangiwi cha kusema ndiyo maana anaropoka hovyo kama mlevi.
[/QUOTE]Mkuu
Hivi unajua unacho andika. Tangu lini Diwani aliwahi kuwa afisa wa TISS?.hujui tofauti TISS na Polisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itafikia hatua ndugu na marafiki wataanza kukwepana wakigundua mmoja kati yao n snitch na ni mbaya sana hii maana ukipata shida jirani yako ndiyo msaada wako wa kwanza sasa hakuna mtu anaependa kitumbua chake kitiwe mchanga hakuna!
Watakuwa mafala...
hiyo ni kazi kama nyengine umuogope mtu kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani TISS na POLISI awali hawakukamatwa na PCCB? hivi hujui PCCB jeshi Fulani ambalo lipo full mikoba maana Kuna mdau wangu 1 huwa anaondoka kimya kimya kwenda mafunzo huko mavikosi ya jeshi miezi akirudi anadai alikuwa likizo kijijini
Kwanza PCCB ilianzishwa na plain policemen wakati wa kamazima pamoja na vijana wa TISS baadaye ndo wakaanza kuajiri! Hoja yangu imejikita katika kinga! PCCB wakimkamata Polisi na rushwa ni lazima waombe kibali Polisi au JW akidakwa lazima jeshi litoe kibali. Kwa sasa uzuri akina Diwani ni Kamishena wa Polisi pia hivyo hahitaji kibali cha kumkamAta koplo. Maana katika kuomba kibali hapo ndipo mambo huharibika
 
Kwa level aliyofikia Diwani haina shida. Refer Hans Kitine, mara nying tu alikuwa anajitambulisha kuwa ni TISS.
 
Kwani TISS na POLISI awali hawakukamatwa na PCCB? hivi hujui PCCBhttps://m.youtube.com/watch?v=8JlNLe5IrY4&feature=youtu.be jeshi Fulani ambalo lipo full mikoba maana Kuna mdau wangu 1 huwa anaondoka kimya kimya kwenda mafunzo huko mavikosi ya jeshi miezi akirudi anadai alikuwa likizo kijijini
 
Kwanza PCCB ilianzishwa na plain policemen wakati wa kamazima pamoja na vijana wa TISS baadaye ndo wakaanza kuajiri! Hoja yangu imejikita katika kinga! PCCB wakimkamata Polisi na rushwa ni lazima waombe kibali Polisi au JW akidakwa lazima jeshi litoe kibali. Kwa sasa uzuri akina Diwani ni Kamishena wa Polisi pia hivyo hahitaji kibali cha kumkamAta koplo. Maana katika kuomba kibali hapo ndipo mambo huharibika
Upo outdated mbona police wamedakwa Sana na mlungura hata kabla kamazima na wengine kikiwa bado kikosi Kama sikosei 90's na mfano Kuna police alipambana baada ya kupigwa mtego ingawa baadae alipigwa pistol ikamjeruhi vibaya baada ya siku kadhaa alifariki Sasa jua kwamba sheria Ni msumeno hakuna kiongozi anayependa kuchafuliwa taasisi yake ishu si kibali Bali Ni martial Court ndo huwa lazima ifanyike kumvua uaskali mtuhumiwa kuwa raia, Askari kibao tu wanatiwa ndani sema Kuna mahusiano ya jirani Kati ya hizi taasisi za ulinzi na usalama ndo maana walikuwa wanapigana fair play
 
Back
Top Bottom