Tabia ya Rais kuwataja kwa majina TISS ni kutokujua miiko au ni sifa?

Basi Mwandosya alikuwa sahihi aliposema aliyekabidhiwa nchi hajawahi kuwa hata mjumbe wa tawi wa ccm, so it equally apply kuwa hakuiva vyema kukabidhiwa majukumu makubwa hivyo. Ujimbe wa tawi unaweza kuwa na maana pana kwa kauli ya Mwandosya.
 
Kwani TISS na POLISI awali hawakukamatwa na PCCB? hivi hujui PCCB jeshi Fulani ambalo lipo full mikoba maana Kuna mdau wangu 1 huwa anaondoka kimya kimya kwenda mafunzo huko mavikosi ya jeshi miezi akirudi anadai alikuwa likizo kijijini
PCCB ni raia naomba ieleweke hivyo.

5/5
 
Lengo lake kuu ni kuwafanya watu waogope yani uoga wake yeye anataka awaambukize na watu wengine...kwamba TISS ni hatari sana hahahaha
 
Hajavunja Sheria wala maadili yeyote kuna ngazi ukifikia ktk taasisi hizo za usalama tena kote duniani jina lako laweza tajwa hadharani. Ktk nyaja hiyo Rais wetu anajua zaidi kuliko mimi na wewe na ndiye bosi wao
 
[/QUOTE]

Angeanza na rushwa za teuzi za kugombea kuunga juhudi, na manunuzi kama kweli ana maanisha.Pia kuna wengine wanatumia vyeti visivyo vyao kula hela zetu.
 
Lengo lake kuu ni kuwafanya watu waogope yani uoga wake yeye anataka awaambukize na watu wengine...kwamba TISS ni hatari sana hahahaha

Ndo nadharia yake kuu ye anaamini watu wanawaogopa sana hao ma uvccm na watoto wa makada wasio jua hata kutunza siri wafanyao mambo ili kujipendekeza.Kumbe watu hawana time nao wanawachukulia ni wa kawaida tu
 
Mkuu kwa hiyo diwani ni office wa polisi wakati huo huo ni ni mtumishi wa Tiss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kabisa kuwataja wale. Jamaa mbele. Ya public nikama umewatangazia hukumu ya kifo napata shida sana ktk hili naa sijuwi ni kwa nn?
 
ingekuwa ni hivyo basi hata majengo ya tiss yangejengwa angani msiyajue kama yapo.Kama mkurugenzi anajulikana kuna zambi gani diwani kujulikana mbona wakuu wa tiss wa mikoa wanajulikana.
 
Msitutishe bana na mambo zenu za kitoto toto, kwani Tiss akijulikana kuna ubaya gani? Kwanza inabidi umpende kwa kujitoa kwake ajili ya maisha yako na ya wabongo wengine ni mwokozi msaidie atuvushe.

Wewe ndo utawatenga sababu ni mmbea, msema hovyo na mwizimwizi hivi, ukimjua si ndo vizuri anakuwa rafiki, mtasaidiana kwenye misiba na raha, kwani wale ni mashetani? au watu kama mimi nijibu!. au huo u-sinitch, wanafanya hovyo kama vichaa, akikujua basi weye ni target. kwanza wana nidhamu kwa raia, angalia hata wajeda ndo walewale Tiss nidhamu tele nenda Lugalo tu pale Hospitali, hata pita barabarani palivo pa zuri, then umtenge mtu huyu? .

Ukooni kwetu walikuwepo saba ni wazee sasa wastaafu navo andika hapa wajeda ndo usiseme kabisaa mpaka leo, ilitokea tu ikawa hivyo, walitupenda tukawathamini, tukatunza siri na tukawa sehemu ya serikali shida iko wapi. Labda hujui hayo ni Majeshi yetu, tunajivunia, TZ hoyeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…