Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Hata ushindi dhidi ya Yanga, TFF iliamua kuwapa point tuu ili Simba isihadhirike.
Jamal Malinzi alimpasia Boniface Wambura naye kwa ustadi wa hali ya juu akamtungua Ally Mustafa.Hata ushindi dhidi ya Yanga, TFF iliamua kuwapa point tuu ili Simba isihadhirike.
Jiangalieni cmba mtapotea
Simba imeshapasua sana anga la kimataifa, hakuna hata timu moja ya Tanzania inayokaribia mafanikio ya Simba kwenye anga la kimataifa. Ni nafasi ya wengine nao wajaribu kunyemelea mafanikio ya Simba sasa, kabla mnyama hajarudi kwenye enzi zake na kuchukua ubingwa wa Afrika.
toa takwimu acha story za vijiweni.Simba imeshapasua sana anga la kimataifa, hakuna hata timu moja ya Tanzania inayokaribia mafanikio ya Simba kwenye anga la kimataifa. Ni nafasi ya wengine nao wajaribu kunyemelea mafanikio ya Simba sasa, kabla mnyama hajarudi kwenye enzi zake na kuchukua ubingwa wa Afrika.
pole mkuu
Pole kaka,hamia huku Dar Young Africa hakuna uswahili oooh uwanja mbaya sijui nn ni magoli tu!..
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na mgambo yamedhihirisha kuwa hata mwaka huu simba haitacheza ligi ya mabingwa au ligi ya shirikisho. Simba tujitapange sana hii tabia ya kujiona na kusema bora tufungwe na timu yeyote lakini tusifungwe na yanga itatupelekea tusicheze ligi za kimataifa na kila mwaka tutaendelea kuishia ligi ya ndani tu.
Imeniuma sana

mbumbumbu fc