Tabia ya Simba kukomalia mechi na Yanga ndiyo mana haiendelei

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na mgambo yamedhihirisha kuwa hata mwaka huu simba haitacheza ligi ya mabingwa au ligi ya shirikisho. Simba tujitapange sana hii tabia ya kujiona na kusema bora tufungwe na timu yeyote lakini tusifungwe na yanga itatupelekea tusicheze ligi za kimataifa na kila mwaka tutaendelea kuishia ligi ya ndani tu.

Imeniuma sana
 
Hata ushindi dhidi ya Yanga, TFF iliamua kuwapa point tuu ili Simba isihadhirike.
 
Pole kaka,hamia huku Dar Young Africa hakuna uswahili oooh uwanja mbaya sijui nn ni magoli tu!..
 
Simba imeshapasua sana anga la kimataifa, hakuna hata timu moja ya Tanzania inayokaribia mafanikio ya Simba kwenye anga la kimataifa. Ni nafasi ya wengine nao wajaribu kunyemelea mafanikio ya Simba sasa, kabla mnyama hajarudi kwenye enzi zake na kuchukua ubingwa wa Afrika.
 
Hakuna raha kama kuigaragaza yanga, yani ni sawa na kuichakaza ccm
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Simba imeshapasua sana anga la kimataifa, hakuna hata timu moja ya Tanzania inayokaribia mafanikio ya Simba kwenye anga la kimataifa. Ni nafasi ya wengine nao wajaribu kunyemelea mafanikio ya Simba sasa, kabla mnyama hajarudi kwenye enzi zake na kuchukua ubingwa wa Afrika.

mbumbumbu fc
 
toa takwimu acha story za vijiweni.
 
Simba kuifunga yanga naifananisha na Liverpool ilivyokuwa inaikamia man u ya Ferguson lakini inavungwa na vibonde halafu hiyo man u wao wanachukua ubingwa kiulaini
 
Pole kaka,hamia huku Dar Young Africa hakuna uswahili oooh uwanja mbaya sijui nn ni magoli tu!..

damu yangu ni nyekundu. We chukua wembe jikate ukiona damu yako ya kijani jua umeisaliti simba na umejisaliti mwenyewe
 
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na mgambo yamedhihirisha kuwa hata mwaka huu simba haitacheza ligi ya mabingwa au ligi ya shirikisho. Simba tujitapange sana hii tabia ya kujiona na kusema bora tufungwe na timu yeyote lakini tusifungwe na yanga itatupelekea tusicheze ligi za kimataifa na kila mwaka tutaendelea kuishia ligi ya ndani tu.

Imeniuma sana

Nimefurahishwa sana na maelezo yako mkuu!
Kama kweli wewe ni mwanasimba, tukipata viongozi kama wewe ktk vilabu vitano tu... (Ligi kuu) tutafika mbali, mfano mimi ni Yanga ila kwa mtazamo wako huu nikweli unafikra endelevu kwa simba na soka la tz kwa ujumla
 
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na mgambo yamedhihirisha kuwa hata mwaka huu simba haitacheza ligi ya mabingwa au ligi ya shirikisho. Simba tujitapange sana hii tabia ya kujiona na kusema bora tufungwe na timu yeyote lakini tusifungwe na yanga itatupelekea tusicheze ligi za kimataifa na kila mwaka tutaendelea kuishia ligi ya ndani tu.

Imeniuma sana

Mechi yenu ya mwisho kwenye michuano ya kimataifa mlikutana libolo ya angola,toka hapo hamtaki tena kucheza michuano ya kimataifa,sijui libolo alikupeni nn walah!
 
Back
Top Bottom