Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
- Thread starter
- #21
Nimefurahishwa sana na maelezo yako mkuu!
Kama kweli wewe ni mwanasimba, tukipata viongozi kama wewe ktk vilabu vitano tu... (Ligi kuu) tutafika mbali, mfano mimi ni Yanga ila kwa mtazamo wako huu nikweli unafikra endelevu kwa simba na soka la tz kwa ujumla
mkuu ahsante. Nawaza ligi inaenda ukingoni na hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara asubuh alaf jioni we unahesabu noti huku meno yote 32 yakiwa nje. Hii tabia yakuombeana mabaya flani afungwe au atoe droo ili nichukue ubingwe ni sawa na kumaliza biashara jioni na kushindwa kupiga mahesabu mapema.