Umenikumbusha hii kitu ya kuchunguliwa kwenye vioo
Hiyo mambo ilishaga wahi kunitoke aiseee!!
Nilikuwa napita chocho fulani hivi hapa kitaani kwetu nikawa nimebanwa kukojoa
Nikageuka mbele na nyuma ili kuangalia kama kuna mtu anaweza kuniona
Sikuoni mtu yoyote yule na nikajiaminisha kuwa hakuna mtu atakayeweza kuniona
Nikafungua zipu ya suruali then nikatoa dushe nikaanza kukojoa
Wakati wa kukojoa nililiachia dushe na mikono mkojo ukawa unatoka kama kawaida tu
Kumbe bhana wakati nakojoa hivi kuna mdada alikuwa ananichungulia kupitia dirishani na kimbaya zaidi dushe nimelielekeza kwake
Yaani aliangali mchezo wote aiseee!!
Huyo mdada namjua/tunajuana sababu tunaishi kitaa kimoja
Mida ya usiku ananikutumi text ya Mambo Elly
Nikamjibu poa vipi Valentina hujambo
Akajibu hajambo
Tuliendelea kuchati muda huo ndo akafunguka kuwa aliniona mida fulani hivi nakojoa.
Duh!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] niliishiwa pozi
Ila alinisifia kuwa nina dushe la haja na lililotukuka na linafaa kwa matumizi ya binadamu(Yeye) sababu ameona.