Tabia ya Wakenya kutaka kila kitu kiwe chao wataacha lini?

Tabia ya Wakenya kutaka kila kitu kiwe chao wataacha lini?

Huko kuuonea mlima Kilimanjaro kwa umbali, tosha kwetu. Twapiga hela kwa watalii, tukiwazumia kutoka KE, sio lazma waje Bongo, mkuu! 🤣 🤣 🤣
sIO kweli mkuu wazungu huwa wanataka kuuona kwa karibu
 
Huyo Idriss aendelee kuwapa exposure, sababu hata hamwezi jisaidia, mnagoja serikali! 🤣 🤣 🤣
 
Huyo Mbwana Samatta, sasa ndio mnaringa sio, hatumhitaji, sisi tushakuwa na bado wako wachezaji wengi wa kutokea KE kwenye ligi za Ulaya, Asia na hata Uarabuni, sasa huyo dogo mmoja si breakfast kwenye Sector hiyo huku!? 🤣 🤣 🤣

1-Victor Wanyama
2-Paul Were
3-Michael Orunga
4-Arnold Origi
5-Clifton Miheso
6-Abud Omar
7-Eric Johana Omondi
8-Masoud Juma
9-Eric Ouma
10-Ishmael Gonzalez Athuman
11-Amos Nondi
12-Ayub Timbe Masika
13-Johana Omollo
14-Peter Opiyo
15-Lawrence Olum
16-David Ochieng "Cheche"
17-Denis Oliech(retired)
18-Mcdonald Mariga(retired)
19-Patrick Osiako
20-Jamal Mohammed(retired)
21-Paul Oyunga(retired)

Sijamalizaa...! 😂😂😂
 
Tatizo Tanzania haijulikani huko nje, hivyo kila Mtanzania anayetaka kufahamika alikotokea lazima itajwe Kenya, aidha iandikwe katokea Tanzania nchi ambayo iko Kusini mwa Kenya, au katokea Kenya kabisa......hapo yeyote anayesoma akiwa kwenye pembe yoyote ya dunia atapata ramani.
Lakini ukitaja Tanzania tu bila kuhusisha Kenya, mhusika mlengwa atadhani ni kainchi fulani shithole kule Asia.
 
Huyo Mbwana Samatta, sasa ndio mnaringa sio, hatumhitaji, sisi tushakuwa na bado wako wachezaji wengi wa kutokea KE kwenye ligi za Ulaya, Asia na hata Uarabuni, sasa huyo dogo mmoja si breakfast kwenye Sector hiyo huku!? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

1-Victor Wanyama
2-Paul Were
3-Michael Orunga
4-Arnold Origi
5-Clifton Miheso
6-Abud Omar
7-Eric Johana Omondi
8-Masoud Juma
9-Eric Ouma
10-Ishmael Gonzalez Athuman
11-Amos Nondi
12-Ayub Timbe Masika
13-Johana Omollo
14-Peter Opiyo
15-Lawrence Olum
16-David Ochieng "Cheche"
17-Denis Oliech(retired)
18-Mcdonald Mariga(retired)
19-Patrick Osiako
20-Jamal Mohammed(retired)
21-Paul Oyunga(retired)

Sijamalizaa...! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unaweka maveteran kibao we kiazi
 
Tatizo Tanzania haijulikani huko nje, hivyo kila Mtanzania anayetaka kufahamika alikotokea lazima itajwe Kenya, aidha iandikwe katokea Tanzania nchi ambayo iko Kusini mwa Kenya, au katokea Kenya kabisa......hapo yeyote anayesoma akiwa kwenye pembe yoyote ya dunia atapata ramani.
Lakini ukitaja Tanzania tu bila kuhusisha Kenya, mhusika mlengwa atadhani ni kainchi fulani shithole kule Asia.
😂😂😂😂...gaiiii...! Hii ni Kali jo!
 
Tanzanians with their inferiority complex again. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Now Naija on Netflix is Kenya? Huyo Idris Sultan hata tukipewa wa bure hatuwezi mchukue na hakuna Mkenya wa kawaida anayemjua huku. Mwelezeni aache kiki za kipuzi.
Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......
 
Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......
Wewe ata kama alishinda BBA, si yeye wa kwanza Afrika. Mbona nchi zingine hawasemi contestants wao waliowahi kushinda?
Pili, pia sisi KE tushapeleka watu BBA na sio mmoja, hata kama hatukushinda kitu ila tuna exposure na mambo hayo.
Tatu, Idriss sio kila watu wengi wanaomjua KE, sasa mlinganishe na Lupita, yaani mpaka vinyanya huko Bongo wanamtambua yule dada! 🤣 🤣 🤣
 
Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......
Alafu usisahau wa KE, vituko vya Netflix toka zamani tu, tunatoaga vitu vya uhakika. Mambo ya kawaida huku, films home made by Kenyan youths.
Na features tumezifanya nyingi hadi ughaibuni, nafkiri huwa unaangalia filamu za kishua, you'll know what am talking about! 🤣
 
Back
Top Bottom