EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
sIO kweli mkuu wazungu huwa wanataka kuuona kwa karibuHuko kuuonea mlima Kilimanjaro kwa umbali, tosha kwetu. Twapiga hela kwa watalii, tukiwazumia kutoka KE, sio lazma waje Bongo, mkuu! π€£ π€£ π€£
Kwa karibu sababu ni chakula, huo hapo wanauona plus wanyama, ati waje Bongo? π π πsIO kweli mkuu wazungu huwa wanataka kuuona kwa karibu
Wanakuja saaana huko tunawagawia wasanii tu waoe hukoKwa karibu sababu ni chakula, huo hapo wanauona plus wanyama, ati waje Bongo? π π π
wakifika uchumi wa KATI.Hii kasumba ya kutaka kila kitu kinachoshine kionekane ni cha Kenya imekithiri sana.
Kilimanjaro iko Kenya
Samatta ni mkenya
Idris sultan ni mkenya
Diamond ni mkenya
Ali kiba ni mkenya
Harmonize ni mkenya.
Kila kitu kizuri wao ni chaoView attachment 1766829View attachment 1766830
Kwanza Idris Sultan ndio nani? Tuanzie hapo. Maanake najua hilo ndio swali ambalo hata wakenya ambao wapo kwenye jukwaa hili wanajiuliza.Amepewa taarifa ni kijana wa kibera
Mbona unaweka maveteran kibao we kiaziHuyo Mbwana Samatta, sasa ndio mnaringa sio, hatumhitaji, sisi tushakuwa na bado wako wachezaji wengi wa kutokea KE kwenye ligi za Ulaya, Asia na hata Uarabuni, sasa huyo dogo mmoja si breakfast kwenye Sector hiyo huku!? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
1-Victor Wanyama
2-Paul Were
3-Michael Orunga
4-Arnold Origi
5-Clifton Miheso
6-Abud Omar
7-Eric Johana Omondi
8-Masoud Juma
9-Eric Ouma
10-Ishmael Gonzalez Athuman
11-Amos Nondi
12-Ayub Timbe Masika
13-Johana Omollo
14-Peter Opiyo
15-Lawrence Olum
16-David Ochieng "Cheche"
17-Denis Oliech(retired)
18-Mcdonald Mariga(retired)
19-Patrick Osiako
20-Jamal Mohammed(retired)
21-Paul Oyunga(retired)
Sijamalizaa...! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya Footballers abroad, Europe
List of Kenyan footballers who have played in Europe and the clubs they played forkenyapage.net
ππππ...gaiiii...! Hii ni Kali jo!Tatizo Tanzania haijulikani huko nje, hivyo kila Mtanzania anayetaka kufahamika alikotokea lazima itajwe Kenya, aidha iandikwe katokea Tanzania nchi ambayo iko Kusini mwa Kenya, au katokea Kenya kabisa......hapo yeyote anayesoma akiwa kwenye pembe yoyote ya dunia atapata ramani.
Lakini ukitaja Tanzania tu bila kuhusisha Kenya, mhusika mlengwa atadhani ni kainchi fulani shithole kule Asia.
Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......Tanzanians with their inferiority complex again. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Now Naija on Netflix is Kenya? Huyo Idris Sultan hata tukipewa wa bure hatuwezi mchukue na hakuna Mkenya wa kawaida anayemjua huku. Mwelezeni aache kiki za kipuzi.
Wewe ata kama alishinda BBA, si yeye wa kwanza Afrika. Mbona nchi zingine hawasemi contestants wao waliowahi kushinda?Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......
Alafu usisahau wa KE, vituko vya Netflix toka zamani tu, tunatoaga vitu vya uhakika. Mambo ya kawaida huku, films home made by Kenyan youths.Wacha hiyo... mnajisheua tu. BBA mliwai kushinda hii? Mnajifanya Sultani afahamiki huko. Mbona kuna wanawake toka Kenya wanafuata......