Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu


halafu hao ndo wanalalamika maisha magumu..
 
Kwa kweli hii hali inashangaza sana kama sio kustaajabisha.....yaani huwa nashindwa kuelewa kijana wa kiume mwenye kupambana na maisha anapataje muda wa kuongelea mambo ya kipuuzi kama hayo.....

Alafu ndio hao hao wakiona kijana mwenzao anakula jasho lake baada ya kuchuma juani wakati wao wanapiga umbea wanaanza kumzushia kumzushia mambo ya kipuuzi......
 
Mkuu umepiga mstari wa moto......yaani unakuta vijana wanabishania mshahara wa Ronaldo na Messi mpaka wanataka kupigana....
 
Kiukweli hayo mnayosema hayapo tu kwa wanaume wa dar hata huko mikoani ndo hivyo hivyo, ukihoji wanaume wa dar kusoma magazeti ya udaku then hoji wanaume wa JF wanaopita jukwaa la celebrity hamna tofauti habari ni zile zile za kina Wema, Diamond, Alikiba, Lulu cjui nani yaani umbea umbea halafu wenyewe mnaita habari.
 
Weh Chalii...
Punguza MATUMIZI ya bangi,mirungi na MKOJO wa punda...
baada ya hapo itakuwa RAHISI sana kuwaelewa WANAUME wa Dar..!
 
Inafikia point kuitwa mwanaume wa dar inakua balaa!!! BTW ni aibu kubwa mwanaume mzima uko kijuweni unamdiscuss wema mara wolper mara kiduti ni ujuha huu...
 
Wanaume wa Dar wambeya lakini wa Arusha wanaolewa na wanaume wenzao sababu tu ni wazungu.
 
Khaaa utang'olewa kucha kisa kupenda hela

Aaah benny wewe ni wa Rorya? Huyo mtoto awe na ubabe wa kinyaki + ubabe wa kikurya, mbona ntazaa balaa jamani khaa

Sasa unaingia Tarime Heaven...

Rorya + Ufilipino unajua vile nitakulinda na kukupenda kipi cha zaidi tena..?

Na mama mkwe soon atatoa baraka zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…