Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

wanaume wa dar wote ni mabebez mkuu au ulikua hujui, ndio maana unasikia uzee mwisho chalinze dar wote ni bebez.

wanaume wanashinda muda wote baba shop wqkitengeneza nywele na kusuguliwa kucha na wamasai unategemea wazungumze nini.

kuna mwingine jana aliniudhi,katoka likizo juzi anafika jana ofisini ananiuliza hivi kweli wema sepetu hana mimba, nilitamani kumtwanga kichwa.

Hahaa umenifanya nicheke kwa sauti
 
Inaelekea wamekukera sana. Hawakukufikisha kileleni au?
Angalia sana hii kauli ya "kukutia karaha". Mwanaume mwenzio anakutiaje karaha?
Babu naona umeikomalia mada hatari, shikamoo!
 
Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
Huku wakicheza pool,si ajabu Mh raisi kupiga marufuku pool kucheza pool,kwa kifupi Dar wanaofanya kazi ni kama asilimia 30 tu iliyobaki ni kukaa vibarazani na kushinda posta.
 
Kuwarekebisha Tabia , hiyo tabia inakithiri na watu wabaona ni tabia ya kawaida .... Unapanda daladala Watu wanabishana kabisa tena mmoja yupo mbele kabisa mwengine Nyuma ..... Utasikia ... Hapana hana mimba yule , Sijui Wolper ndio anayoo ... Jokate kashatembea sijui na naniii ....whta is ths sasa ... Halafu wanawake wametuliaaa ..Midume ndio inabishac..mpaka mtu mishipa Ya Shingo inatoka , povu limejaa pande zote za mdomo . .. STOP THAT.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom