Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

wanaume wa dar wote ni mabebez mkuu au ulikua hujui, ndio maana unasikia uzee mwisho chalinze dar wote ni bebez.

wanaume wanashinda muda wote baba shop wqkitengeneza nywele na kusuguliwa kucha na wamasai unategemea wazungumze nini.

kuna mwingine jana aliniudhi,katoka likizo juzi anafika jana ofisini ananiuliza hivi kweli wema sepetu hana mimba, nilitamani kumtwanga kichwa.
Unajua ni kwanini alikuuliza wewe hakuuliza wengine?? Angalia unavyojitengeneza sura yako. Shauri zako.
 
Inaelekea wamekukera sana. Hawakukufikisha kileleni au?
Angalia sana hii kauli ya "kukutia karaha". Mwanaume mwenzio anakutiaje karaha?
Ongea Vyovyote ila Kama nawe ni mmoja wapo ..Acha hio Tabia ... waachieni wake Zenu ... Narudia tena Mnatia Karahaaa..
 
Lengo lako hasa nini labda?
Kuwarekebisha Tabia , hiyo tabia inakithiri na watu wabaona ni tabia ya kawaida .... Unapanda daladala Watu wanabishana kabisa tena mmoja yupo mbele kabisa mwengine Nyuma ..... Utasikia ... Hapana hana mimba yule , Sijui Wolper ndio anayoo ... Jokate kashatembea sijui na naniii ....whta is ths sasa ... Halafu wanawake wametuliaaa ..Midume ndio inabishac..mpaka mtu mishipa Ya Shingo inatoka , povu limejaa pande zote za mdomo . .. STOP THAT.
 
Weka jina lako humu, labda sasa watakuongelea wewe.
 
Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
Vijana wa Arusha mnachekesha...
 
Ongea Vyovyote ila Kama nawe ni mmoja wapo ..Acha hio Tabia ... waachieni wake Zenu ... Narudia tena Mnatia Karahaaa..
Punguza maneno ya "taarab" mtoto wa kiume. Maana nashindwa kuona tofauti yako na hao unaowasema.
 
Dar ipi hiyo? Au ule mtaa wa arusha unaoitwa Dar? Kama ni Dar hii ya Bongo, hao watakuwa ndugu zako ulikofikia. Wee unatafuta nini kwao mpaka ukajua haya, wee ni mmoja wao!
Chaliiii, nduguzo wanaume ulikofikia ndo shida, sio wanaume wa Dar.
 
Hhahahahah eti vijana wa Arusha? Umejuaje huyu chalii ni mwanaapolo?
Msome hapo ndio kafika kutoka Arusha....mada nyingi za aina hii zinaletwa na vijana wa Arusha.
Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
 
Si bora hata hao wanaowajadili hao maarufu, wanaume wanazidi kutokomea, imebakia jinsia tu ya kiume na wanaume wachacheeeee.
 
Mleta mada hivi hao jamaa zako ungewakuta wanawad discuss akina Rihana,Nick minaj au Lady gaga pia ungelaumu? Au tatizo ni kudiscuss celebrity wa kibongo tuu? Hebu tuweke wazi mkuu kilichokukera hasa ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom