Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hili nalo ni JIPUYani hawa wa kuja utawajua tu kwa kutafuta kick, na wameshajua kutoka ni lazima utoke na dongo hata la uongo.
Sa sijui tunalitumbua vipi[emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo ni JIPUYani hawa wa kuja utawajua tu kwa kutafuta kick, na wameshajua kutoka ni lazima utoke na dongo hata la uongo.
Hahaha...kwani baba naniii anatokea Dar?!...basi namtoa yeye tu kwenye kundiHahahaaaa!! We mfilipino ndio umeamua kututukania waume zetu?
Hahaaaa! So unamtoa kuwa yeye anakuwa sio wa huko au?Hahaha...kwani baba naniii anatokea Dar?!...basi namtoa yeye tu kwenye kundi
wanaume wa dar wote ni mabebez mkuu au ulikua hujui, ndio maana unasikia uzee mwisho chalinze dar wote ni bebez.
wanaume wanashinda muda wote baba shop wqkitengeneza nywele na kusuguliwa kucha na wamasai unategemea wazungumze nini.
kuna mwingine jana aliniudhi,katoka likizo juzi anafika jana ofisini ananiuliza hivi kweli wema sepetu hana mimba, nilitamani kumtwanga kichwa.
Babu naona umeikomalia mada hatari, shikamoo!Inaelekea wamekukera sana. Hawakukufikisha kileleni au?
Angalia sana hii kauli ya "kukutia karaha". Mwanaume mwenzio anakutiaje karaha?
Hahaha....anabaki kuwa wa huko ila sisi wanaume wa rorya hatutamtenga sana...Hahaaaa! So unamtoa kuwa yeye anakuwa sio wa huko au?
Hahahaaaa!! Ngoja nitamuambia.Hahaha....anabaki kuwa wa huko ila sisi wanaume wa rorya hatutamtenga sana...
Vijana wa arusha wana tabu sana aiseeVijana wa Arusha mnachekesha...
Hahaha poa msalimie japo nawamind sana kunibania mtoto wenu[emoji1]Hahahaaaa!! Ngoja nitamuambia.
Nipe hela sitakubania, inakuwa siri yetu.Hahaha poa msalimie japo nawamind sana kunibania mtoto wenu[emoji1]
hayo ndio maneno sasa ntakucheki kwa mpesa ila usiniangushe mama mkweNipe hela sitakubania, inakuwa siri yetu.
Usijali, ziwe nyingi nyingi tu.hayo ndio maneno sasa ntakucheki kwa mpesa ila usiniangushe mama mkwe
Hahah usiniuwe sana mapema ikitiki zitaongezeka pia...Usijali, ziwe nyingi nyingi tu.
Huku wakicheza pool,si ajabu Mh raisi kupiga marufuku pool kucheza pool,kwa kifupi Dar wanaofanya kazi ni kama asilimia 30 tu iliyobaki ni kukaa vibarazani na kushinda posta.Toka nifike Dar-es-salaam kutika Arusha ,kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni Tabia ya Wanaume Wa Dar-es-salaam kukaa Chini Na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya Hivi ,Mara Jokate kafanya Lile ... yaani inakera inakera ..na unayakuta kabisa na Midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na Mapovu Mdomoni ..Shame on you .. stop that .
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKuwarekebisha Tabia , hiyo tabia inakithiri na watu wabaona ni tabia ya kawaida .... Unapanda daladala Watu wanabishana kabisa tena mmoja yupo mbele kabisa mwengine Nyuma ..... Utasikia ... Hapana hana mimba yule , Sijui Wolper ndio anayoo ... Jokate kashatembea sijui na naniii ....whta is ths sasa ... Halafu wanawake wametuliaaa ..Midume ndio inabishac..mpaka mtu mishipa Ya Shingo inatoka , povu limejaa pande zote za mdomo . .. STOP THAT.