Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh kwa kweli ufilipino naupenda mno. Ila hiyo duet ya mnyaki na mkurya, kama ni kabinti katakuwa hakapewi hata HI barabarani tehSasa unaingia Tarime Heaven...
Rorya + Ufilipino unajua vile nitakulinda na kukupenda kipi cha zaidi tena..?
Na mama mkwe soon atatoa baraka zote!
Are you SHE or HE??Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate kafanya lile ... Yaani inakera inakera ..
Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .
Hyo anawashwa..tutamkuna tu soonMleta mada una stress za maisha.
it only takes a witch to know another witchdiscuss Ujinga kama huo ... Yaani kunikuta Nadiscuss Mimba ya Wema ... Dooooh . ...Sijawahi ona hii kitu ...nadhani nashangaa kutokana ma Historia ya Mkoa wangu . Arusha hakuna hii kitu aisee .
Teh kwa kweli ufilipino naupenda mno. Ila hiyo duet ya mnyaki na mkurya, kama ni kabinti katakuwa hakapewi hata HI barabarani teh
Hilo la kutoga masikio linakera sanaNa muache Tabia ya kujitoga toga Masikio kuoaka Picvo na kujichubua ...wacheeniii ..hata mkikasirika .
Sasa na wewe mbona una discuss wanaume wa Dar?Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate kafanya lile ... Yaani inakera inakera ..
Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .
Mbona chindo kajitoboaNa muache Tabia ya kujitoga toga Masikio kuoaka Picvo na kujichubua ...wacheeniii ..hata mkikasirika .
discuss Ujinga kama huo ... Yaani kunikuta Nadiscuss Mimba ya Wema ... Dooooh . ...Sijawahi ona hii kitu ...nadhani nashangaa kutokana ma Historia ya Mkoa wangu . Arusha hakuna hii kitu aisee .
Hahaa haa umenikumbusha kipindi kile cha le panya road!! We pata picha mtu kama le mutuz na ule mtumbo akimbizwe na panya road!!Humu ndani full burudani,nimecheka sana!
Wanaume wanatetea uanaume wao kwa maneno balaa! Wanaume wa Dar kipindi kile cha panya road na sasa hili.
Unawatetea 'wanaume wa Dar' who appointed you to be the guardian or spokesperson wao?
If you are a real man, you don't have to fight with a person who SAYS you are not. However, pay attention to the person who tries to SHOW you that you are not a man by SHOWING the world how man you are!