Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Sasa unaingia Tarime Heaven...

Rorya + Ufilipino unajua vile nitakulinda na kukupenda kipi cha zaidi tena..?

Na mama mkwe soon atatoa baraka zote!
Teh kwa kweli ufilipino naupenda mno. Ila hiyo duet ya mnyaki na mkurya, kama ni kabinti katakuwa hakapewi hata HI barabarani teh
 
Watu wengine bhana, unakuta mtu katoka huko alikotoka... hata mtaa wa pili lazima apelekwe kwa kuogooa atapotea lakini tayari anataka kujifanya analifahamu jiji na wakazi wake!!!
 
Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate kafanya lile ... Yaani inakera inakera ..

Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .
Are you SHE or HE??
 
discuss Ujinga kama huo ... Yaani kunikuta Nadiscuss Mimba ya Wema ... Dooooh . ...Sijawahi ona hii kitu ...nadhani nashangaa kutokana ma Historia ya Mkoa wangu . Arusha hakuna hii kitu aisee .
it only takes a witch to know another witch
 
Teh kwa kweli ufilipino naupenda mno. Ila hiyo duet ya mnyaki na mkurya, kama ni kabinti katakuwa hakapewi hata HI barabarani teh

Haha....katajifunza kua "cool" kutoka kwetu kikubwa ni mama yake tu unipe funguo....
 
Tatizo lao kubwa hawaendi jando wengi wao wametairiwa na mama zao na wanajua wamezaliwa hivyo so ni lazma na mambo yao yawe kikike kike tu
 
wengi wao ni marioo, wana tabia za watu wa lubumbashi
 
Wanaume Wa Dar Leo watajulikana kwa majibuu yaoooo
 
Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate kafanya lile ... Yaani inakera inakera ..

Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .
Sasa na wewe mbona una discuss wanaume wa Dar?
 
discuss Ujinga kama huo ... Yaani kunikuta Nadiscuss Mimba ya Wema ... Dooooh . ...Sijawahi ona hii kitu ...nadhani nashangaa kutokana ma Historia ya Mkoa wangu . Arusha hakuna hii kitu aisee .

I agree, Arusha watu wapo serious!!!!! Very different.
 
mwanaume rijali,mlume lundago mtafutaji,mpiganaji wa maisha ya leo na kesho ili kupata ugali wa familia yako huwezi kulete uzi wakipuuzi kama huuu....Napata mashaka km wewe sio wale akina na naniiiii...
 
Humu ndani full burudani,nimecheka sana!

Wanaume wanatetea uanaume wao kwa maneno balaa! Wanaume wa Dar kipindi kile cha panya road na sasa hili.

Unawatetea 'wanaume wa Dar' who appointed you to be the guardian or spokesperson wao?

If you are a real man, you don't have to fight with a person who SAYS you are not. However, pay attention to the person who tries to SHOW you that you are not a man by SHOWING the world how man you are!
Hahaa haa umenikumbusha kipindi kile cha le panya road!! We pata picha mtu kama le mutuz na ule mtumbo akimbizwe na panya road!!
 
Back
Top Bottom