Tabia ya wanawake kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao iko kwa Warangi tu au na makabila mengine?

Tauceti Rigel

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2025
Posts
201
Reaction score
556
Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ?

Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao

Nikasema nije kwenye jamvi niulize
 
Huu ujinga sana, kama huko Kwa bibi mazingira na uchumi uko poa sawa, ila Kuna dada alitoa mtoto English medium school, mboga Tano akapeleka mtoto kijijini kunguni, njaa na kayumba kisa kumkomoa mzazi mwenza!!!!
Ukweli ni kwamba Kuna wkt wadada wanatumia watoto kwa faida zao binafsi na sio faida za mtoto
 
Akificha watoto si ndiyo vizuri.Hutoi matumizi wala kusumbuliwa na mtu yeyote.Ni mwendo wa Kula kimpumu kwa mabumunda hadi unazimia.
NB;Kila jamii ina changamoto zake zenye zenye maudhi.
Mfano ukute mwanaume uko financially stable na mwanamke apeleke mtoto bibi lazma itakuchanganya tu,

Wadada tukiachika tukubali, tusitumie watoto kulazimisha mahusiano au kuwageuza ATM
 
Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ?

Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao

Nikasema nije kwenye jamvi niulize
Huyo atarudi kashejifunza uchawi.....sio Kwa warangi niwajuwao
 
Huu ujinga sana, kama huko Kwa bibi mazingira na uchumi uko poa sawa, ila Kuna dada alitoa mtoto English medium school, mboga Tano akapeleka mtoto kijijini kunguni, njaa na kayumba kisa kumkomoa mzazi mwenza!!!!
Ukweli ni kwamba Kuna wkt wadada wanatumia watoto kwa faida zao binafsi na sio faida za mtoto
Mtoto anakuwa mtu mzima anaanza kumchukia Mama yake baada ya kugundua Baba alikuwa na uwezo wa kumlea vizuri
 
Back
Top Bottom