Tauceti Rigel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2025
- 201
- 556
Mfano ukute mwanaume uko financially stable na mwanamke apeleke mtoto bibi lazma itakuchanganya tu,Akificha watoto si ndiyo vizuri.Hutoi matumizi wala kusumbuliwa na mtu yeyote.Ni mwendo wa Kula kimpumu kwa mabumunda hadi unazimia.
NB;Kila jamii ina changamoto zake zenye zenye maudhi.
Huyo atarudi kashejifunza uchawi.....sio Kwa warangi niwajuwaoHivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ?
Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao
Nikasema nije kwenye jamvi niulize
Uchawi wa KWA DELLOHuyo atarudi kashejifunza uchawi.....sio Kwa warangi niwajuwao
Mtoto anakuwa mtu mzima anaanza kumchukia Mama yake baada ya kugundua Baba alikuwa na uwezo wa kumlea vizuriHuu ujinga sana, kama huko Kwa bibi mazingira na uchumi uko poa sawa, ila Kuna dada alitoa mtoto English medium school, mboga Tano akapeleka mtoto kijijini kunguni, njaa na kayumba kisa kumkomoa mzazi mwenza!!!!
Ukweli ni kwamba Kuna wkt wadada wanatumia watoto kwa faida zao binafsi na sio faida za mtoto