Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu. Ukatili, maumivu, mateso na uharibifu wa Ndoto za Watoto wengi zilizotokana na ubinafsi mbaya uliosababishwa na baadhi ya Wanawake ving'ang'anizi, ambao hujifanya wanauchungu wa Mtoto Wakati Hawana huo uchungu. Kwa sababu kama wangekuwa na huo uchungu wangeangalia maslahi ya mtoto Kwanza kuliko kutanguliza maubinafsi Yao.
Ninaposema Wanawake wafanye Kazi kama ilivyo Amri Kwa Watu wôte namaanisha kuwa ili waweze kujitegemea na kuweza kujihudumia waô na familia zào na Watoto waô hata Siku Mume kamuacha íwe Kwa talaka au Kifo Basi Mwanamke anaweza kuhudumia Watoto wake.
Hakuna Mwanamke mwenye Akili timamu Kama Mtu Kamili àmbaye hataelewa mantiki ya kufanya Kazi. Siô Kazi za Nyumbani nop, Kazi za uzalishaji Mali, yaani kuhudumia Wengine ili kupata kipato cha Kûtunza Maisha yake na kizazi chake.
Sasa wewe Huna Kazi alafu unang'ang'ania Mtoto WA nini kama wewe sio Katili na mbinafsi.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mtoto kuishi na mamaake au upande wa Mamaake ikiwa tutagundua kuwa upande wa Mamaake Mtoto ataishi Vizuri na kusaidiwa kufikia Ndoto Zake. Ubaba kwetu haimaanishi kuwa wabinafsi na kulazimisha mambo yasiyowezekana yanayoumiza Watoto wetu.
Wewe kama unajua ukiachana na Mumeo alafu utahitaji atunze Watoto wake Kwa nini uondoke nao kama kweli wewe sio mshenzi na mkatili?
Unajua Huna uwezo wa kuwatunza Watoto wako. Utahitaji Kúpiga piga Simu na kusumbua Baba mwenye Mtoto atume Pesa za Matumizi kwa nini usimuachie huyo Mtoto ili yeye ndiye amtunze?
Mbona Wababa wengi wakikaa na Watoto hawawasumbui ninyi kina Mama?
Kama NI damu yake na anatakiwa kuwajibika Kûtunza Mtoto wake why usimpe amtunze mwenyewe kama wewe Pesa yako haikidhi?
Kûna Wanawake àmbao wanafanya Kazi za uzalishaji ambao huishi na Watoto wao na hawawasumbui Baba za Watoto. Hawa ndîo wanahaki ya kulea hao Watoto lakini wewe ukishajiona unapigapiga Simu kutaka Pesa za matumizi sijui huduma, elewa wewe NI katili, haustahili kukaa na huyo Mtoto.
Kûna wale Wanaume pia àmbao Hawana uwezo wa kulea Watoto lakini NI ving'ang'anizi vya kunyang'anya Wanawake Watoto. Alafu wanawapeleka Kwa ndugu au Bibi zao. Huko Kwa Bibi zao Maisha Magumu, Watoto wanateseka lakini ubinafsi tuu.
Mnapoachana au inapotokea Dharura ya Mwanamke na Mwanaume weñye Mtoto au Watoto wakashindwa kuishi pàmoja Jambo linalotakiwa kuangaliwa NI Watoto waishi Kwa Nani au upande WA Nani àmbao wanaweza kuwafanya Watoto waishi angalau Maisha comfortable na kutimiza Ndoto zào.
Sio kutanguliza ushenzi na ubinafsi wenu kwèñye future ya Watoto wenu. Mtoto wako NI Mtoto wako tuu. Muhimu NI kuangalia maslahi yake.
Unakuta Mwanamke Hana uwezo kiuchumi, Wazazi wake NI Maskini, Hana Elimu yoyote lakini akiambiwa hao Watoto mpelekee Baba Yao au upande WA Baba Yao wanauwezo wa kuwatunza vizuri, Roho yake mbaya inamkataza.
Alafu wènyewe wanajifanya wanaupendo Kwa Watoto. Upendo gàni kama siô Roho mbaya tuu.
Alafu unakuta anamuambia Mtoto Mimi nilikuwa nakupenda Sana, oooh blah blah blah! Babaako alikuwa anauwezo na hakukujali, Muulize Mamaako Kwa nini kama Baba alikuwa anauwezo hukunipeleka nikaishi kwàke ili anitengenezee future nzuri àmbayo ingekusaidia hata wewe?
Akakuambia Mzee alikataa mwambie nitaenda kumuuliza nijue mbivu na mbichi.
Lakini hii ni Kwa wale Wazazi weñye tàbia ya kuwasema Wazazi Wengine Kwa ubaya huku hata hukumuuliza. Ili yeye umuone mwema.
Lakini kama Mzazi sio Mtu wa kulaumu Wala usimwambie hayo.
Wanawake wanasingizia oooh Mama wa Kambo sijui atamtesa mwanangu Wakati yenyewe yanatesa Watoto waô waliowazaa Kwa kushindwa kuwatunza na kuwahudumia na kiburi cha kukataa kuwapeleka Watoto Kwa Baba zào.
Niliomba serikali, itunge Sheria kuwa atakayetaka kubaki na Mtoto au Watoto lazima awe na uwezo wa kuwahudumia Bila kujali NI Mamaake au Baba WA Mtoto. Huwezi kuhudumia Watoto hutokuwa na Haki ya Kûbaki na Watoto full stop.
Wewe kama unaona Baba WA Watoto wako anaowajibu wa kutoa Pesa za matumizi muachie Mtoto alee mwenyewe.
Mzazi(Baba au Mama) asiye na uwezo anaweza kuachiwa Watoto awalee yàani akae nao Ikiwa Mzazi mwenye uwezo wamekubaliana kuwa Mtoto abaki nao naye atakuwa anatoa pesa kwaajili ya watoto na matumizi ya mwanamke anayelea huyo mtoto. Hiyo NI HAKI
Lakini siô HAKI ung'ang'anie Mtoto alafu Huna uwezo wa Kumtunza Mtoto úwe unategemea Kutumiwa pesa za Kûtunza hao Watoto ilhali ungeweza kumuachia hao Watoto kwani naye NI Mzazi. Huo NI UKATILI, ushenzi, Roho mbaya, ubaya Ubwela, na kuangamiza future nzuri ya Watoto.
Haki inaenda na wajibu.
Unàtaka kukaa na Mtoto Basi hakikisha unauwezo WA kuwatunza zaidi kuliko Yule uliyempokonya Watoto.
Ndîo maana ninasema kîla Siku na nitaendelea kusema kîla Siku, Watu wôte Bila kujali jinsia zào wafanye Kazi ili baadaye isijeonekana kûna Mtu ananyanyaswa.
Hakuna kutiatia huruma.
Haiwezeniki Mtoto aishi Maisha Magumu Wakati Babaake anauwezo, Kisa ati ulimng'ang'ania. Mpeleke Kwa Babaake Huko. Kuliko uendelee kumtesa Hapo.
Alafu unasema akienda Kule atateseka ilhali wewe ndiye unayemtesa Mtoto Kwa kushindwa kumtunza.
Narudia, Watoto Ikiwa Mzazi wako atakuwa anasema Baba yako anatanua na anamaisha mazuri lakini hakujali mwambie Mama nipeleke Kwa Baba yàngu nikaishi Huko.
Akikuambia Huko utateseka mwanangu, utateswa sijui na mama wa kambo, sijui mashangazi mwambie nipeleke nikajionee mwenyewe yakinishinda nitarudi.
Na siô kukubali propaganda za kijinga zilizojaa Roho mbaya na ubinafsi.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam