kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka
Hivi mapenzi hayo ya kusubiliana bado yapo? Ndo maana mimi kidume huwa sina demu mmoja maana najua nitakufa na presha! Yap ilisha nitokea pia ila mimi nikamjibu aaah wala usihangaike dear niko party na rafiki yangu utanijulisha siku ukipata mda. After two minutes akanipigia simu uko sehemu gani? Nakuja nilikua nakutania nione kama utakasirika.
Watu wataalam mbayakwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka
duh mkuu umenigusa direct,mi mwenywe leo nimechomeshwa mahindi ka gunia moja hivi pale morocco hahaha
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka
kwa hiyo bado uko nae hadi leo au?