Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mkuu unaua kbs, halafu hii ya kuchomesha watu mahindi ulisahau kuiweka kwenye ule uzi wako wa wazungu...!Hivi mapenzi hayo ya kusubiliana bado yapo? Ndo maana mimi kidume huwa sina demu mmoja maana najua nitakufa na presha! Yap ilisha nitokea pia ila mimi nikamjibu aaah wala usihangaike dear niko party na rafiki yangu utanijulisha siku ukipata mda. After two minutes akanipigia simu uko sehemu gani? Nakuja nilikua nakutania nione kama utakasirika.