Tabia ya wasichana kutuchomesha mahindi wavulana inaboa sana.

Dah mkuu unaua kbs, halafu hii ya kuchomesha watu mahindi ulisahau kuiweka kwenye ule uzi wako wa wazungu...!
 
Vijana bwana, yataisha tu hayo!
Kuna siku mtakuwa mnafukuzia mtu mzima wala hahitaji kumuaga mama wala nini , anakaa kwake! just wait kijana.......
Ila ni vizuri kupitia hayo mambo maana yanazidi kukujenga.
 
Nenda zako ohio pale wao ndo wanachoma mahindi we ukifika unapiga fasta then unachanganya ngwala bila ya presha soko huria dogo fungua mboni hizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…