WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwa mujibu wa nchi Tajiri Africa Tanzania imo miongoni mwa mataifa 20 tajiri zadi Afrika kwa hiyo sioni umaskini wowote Tanzania ila upo kwa wenye fikra potofu kama za akina Newbies.China ni developed Country na nchi ya pili kwa idadi ya watu baada ya India ambayo pia ni nchi Tajiri.Tanzania tuna hasara Sana ... Ndiomaana population tegemezi haipungui,,, ukiona nchi zaidi ya 45% niwatoto haiwezi kuendelea kamwe
Umeisoma population ya China? China watu wengi nivijana watoto niwachache Sana ,, huwezi kuwa na population ya watoto wengi Tanzania theni ukakua kiuchumi. Tanzania ni ya 20 kwa kushindanishwa na Nani? Africa nibara maskini kuliko mabara yote hata wewe unaweza kuwa na 500,00 ukawa tajiri kwenye familia yenu nzima maana hakuna mwingine mwenye hiyoKwa mujibu wa nchi Tajiri Africa Tanzania imo miongoni mwa mataifa 20 tajiri zadi Afrika kwa hiyo sioni umaskini wowote Tanzania ila upo kwa wenye fikra potofu kama za akina Newbies.China ni developed Country na nchi ya pili kwa idadi ya watu baada ya India ambayo pia ni nchi Tajiri.
Acha uongo...we ni maskini mganga njaa na hospital huwa unalipa cash?Usiniletee kichefuchefu mimi watoto wangu wote nimesomesha kwa hela yangu kuanzia kindergarten hadi University bila mkopo hivyo hizo ngonjera zako sizielewi na ninaelewa ninachozungumza.
Naamua kukudharau tu wala sina haja ya kubishana na punguani kama wewe.Acha uongo...we ni maskini mganga njaa na hospital huwa unalipa cash?
Wagumba watakubishia.Pigeni mbupu wanaume mzae acheni uoga,rasilimali kubwa duniani ni watu,china isingepata maendeleo makubwa kama wangekuwa wachache.
HakikaPigeni mbupu wanaume mzae acheni uoga,rasilimali kubwa duniani ni watu,china isingepata maendeleo makubwa kama wangekuwa wachache.
HakikaWagumba watakubishia.
China inazungumzia watu bilioni moja na ushee,uchumi wakeKwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Wamekosa hoja wanaanza kutudanganya na hoja nyepesi,Wacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
HakikaChina inazungumzia watu bilioni moja na ushee,uchumi wake
tanzania hata kwenye ndoto hatuwezi kuota tumemfikia, Tuangalie mambo ya kujadili
kinachotuponza watz ni kukosa sera madhubuti na kuendekeza ufisadi.
Mtu akiiba na kuwekeza plus kuwalewesha baa mnamuona mjanja,hili likikoma
hata tukizaa kama simbilisi,tutaendelea tuuu.
Lakini pia uache dharau kwa boda boda unawezakuta ana kipato kuliko chako.
Hakika.Hata kama raia tungekua milioni moja kama wanao tawala ni ccm bado nchi ingekua maskini tuu mfumo mbovu wa kiutawala usioleta usawa kwa watu ndio sababu ya ugumu maisha ya Watanzania wengi, tuaache watu tuchape mkia ni maisha yetu tutajua sisi wataishi vipi watasoma vipi wewe zaa kizungu usitupangie chakufanya