Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Tanzania tuna hasara Sana ... Ndiomaana population tegemezi haipungui,,, ukiona nchi zaidi ya 45% niwatoto haiwezi kuendelea kamwe
Kwa mujibu wa nchi Tajiri Africa Tanzania imo miongoni mwa mataifa 20 tajiri zadi Afrika kwa hiyo sioni umaskini wowote Tanzania ila upo kwa wenye fikra potofu kama za akina Newbies.China ni developed Country na nchi ya pili kwa idadi ya watu baada ya India ambayo pia ni nchi Tajiri.
 
Kwa mujibu wa nchi Tajiri Africa Tanzania imo miongoni mwa mataifa 20 tajiri zadi Afrika kwa hiyo sioni umaskini wowote Tanzania ila upo kwa wenye fikra potofu kama za akina Newbies.China ni developed Country na nchi ya pili kwa idadi ya watu baada ya India ambayo pia ni nchi Tajiri.
Umeisoma population ya China? China watu wengi nivijana watoto niwachache Sana ,, huwezi kuwa na population ya watoto wengi Tanzania theni ukakua kiuchumi. Tanzania ni ya 20 kwa kushindanishwa na Nani? Africa nibara maskini kuliko mabara yote hata wewe unaweza kuwa na 500,00 ukawa tajiri kwenye familia yenu nzima maana hakuna mwingine mwenye hiyo
 
China_population_sex_by_age_on_Nov,_1st,_2020.png

Wakati unaropokwa China wamefanikiwa kwa kuwa na watu wengi angalia population structure Yao. Population ya China sio tegemezi Kama ilivyo Tanzania
 
Bwege kabisa nchi kama JAPAN ITALY KOREA KUSINI MAREKANI CHINA wamekwama matiafa hayana nguvu kazi wazee ni wengi kuliko vijana hvyo taifa linakosa nguvu kazi hujamuona kiduku analia hadharani akitaka raia wake waongeze kuzaliana yaani watu ni moja kati ya rasimali adimu kwa sasa king mswati amekwama na yeye na hii dunia inayokuja ya mashoga basi depopulation itaongezeka huko kwa wazungu hapo ndio tunatakiwa tuchukue point 3 sasa hata kuwa na population kubwa pia ni maendeleo china wapo over 1 billion prove me wrong.
 
Usiniletee kichefuchefu mimi watoto wangu wote nimesomesha kwa hela yangu kuanzia kindergarten hadi University bila mkopo hivyo hizo ngonjera zako sizielewi na ninaelewa ninachozungumza.
Acha uongo...we ni maskini mganga njaa na hospital huwa unalipa cash?
 
Watoto wengi ni nguvu kazi.umasikini wa tz umesababishwa na upunguani wa watawala.mfano watawala wa awamu ya sita wamekithili sana kula rushwa.asingekuwa ameruhuau rushwa kufanyika hadharani huyu bibi tungekuwa tunahospitali nyingi sana za kutosha na chenji ingebaki ya kuwakatia bima wtz wote.China Ina watu bilioni Moja na milioni mianne na ushee lakini serikali haijaruhusu rushwa kama alivyoruhusu huyu wa kwetu.rasilmali za china zinatumika ipasavyo ndiyo maana wananchi wake siyo masikini kama ilivyo tz
 
Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.

Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).

Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?

Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.

Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.

Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.

Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!

Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.

Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
China inazungumzia watu bilioni moja na ushee,uchumi wake
tanzania hata kwenye ndoto hatuwezi kuota tumemfikia, Tuangalie mambo ya kujadili
kinachotuponza watz ni kukosa sera madhubuti na kuendekeza ufisadi.
Mtu akiiba na kuwekeza plus kuwalewesha baa mnamuona mjanja,hili likikoma
hata tukizaa kama simbilisi,tutaendelea tuuu.
Lakini pia uache dharau kwa boda boda unawezakuta ana kipato kuliko chako.
 
China inazungumzia watu bilioni moja na ushee,uchumi wake
tanzania hata kwenye ndoto hatuwezi kuota tumemfikia, Tuangalie mambo ya kujadili
kinachotuponza watz ni kukosa sera madhubuti na kuendekeza ufisadi.
Mtu akiiba na kuwekeza plus kuwalewesha baa mnamuona mjanja,hili likikoma
hata tukizaa kama simbilisi,tutaendelea tuuu.
Lakini pia uache dharau kwa boda boda unawezakuta ana kipato kuliko chako.
Hakika
 
Hata kama raia tungekua milioni moja kama wanao tawala ni ccm bado nchi ingekua maskini tuu mfumo mbovu wa kiutawala usioleta usawa kwa watu ndio sababu ya ugumu maisha ya Watanzania wengi, tuaache watu tuchape mkia ni maisha yetu tutajua sisi wataishi vipi watasoma vipi wewe zaa kizungu usitupangie chakufanya
Hakika.
 
Tatizo sio wengi au wachache.., tatizo ni optimum sustainable population (cha kujiuliza whats that number in relation to our country au dunia) ?

Kwahio hapo utaona issue pia ipo kwa watunga sera kushindwa hata kutumia nguvu kazi iliyopo; kwahio hata tungekuwa half the number bado tungekuwa hapa tulipo leo sababu umasikini huu haujaanza leo ingawa kwa leo with all these machinery na ukusanyaji wa kodi efficient haupaswi kuwepo (thus jibu litakuja tatizo ni walamba asali)
 
Back
Top Bottom