Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Nimeshangaa huyu makamu wa rais aliyefariki juzi hapo nchi jirani ana watoto wawili yule mjeshi hapo kwa uhuru aliyepotelea kwenye ukungu naye aliacha watoto wawili.

Mamndenyi nina watoto wanne naona nilifeli sana ningezaa hata nane.

Watu wazae watoto wengi
 
Wana visima vya mafuta! Wana viwanda,Wazungu wame invest kule,wana mipango mizuri ya maendeleo!
Vipi kwetu?
Hao wenzetu waliwekeza kwenye elimu kitu kingine Afrika tuna shida ya uongozi ni jambo la kushangaza kuona kiongozi anatumia mabilioni ya pesa kununua boda boda kwaajili ya kufanyia uchaguzi
 
Ebu kwendeni zenu na nyie mnatusema mabodaboda tumewakosea nini. Ndio maana tunawagegeda wake zenu na vitoto vyenu vya form foo B
 
Uzae wengi halafu uje ulaumu serikali sio?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had muhusishe mashoga ndo roho zenu kwatuuu.
Woiiiiih, muwe mnawapa matunzo na malezi sahihi, isijekua ndo mnaongeza wingi wa mashoga.
Mashoga nao ni watu lazima watajwe au siyo cocastic?
 
Kwani huwezi kuongeza wengine mbona bado unadai kabisa?
 
Sio kweli! Swala la umasikini nchini ni swala la uongozi wala sio swala la kuzaliana! Usipotoke, nchi kama china au india ina watu wengi sana mbona uchumi wake upo juu! Kumbuka idadi ya watu pia inachangia pato la taifa, wanafanya kazi, wanalipa kodi, kinachotukwamisha ni kutokuwa na viongozi wazalendo wenye sera thabithi, labda nikuulize mfano unataka uniambie kuwa mh kikwete angekuwa hata na watoto kumi angeshindwa kuwatunza?????? Jibu ni hapana! Kila mtoto ana baraka zake! Unaweza ukawa na watoto wachache ukapigwa na umasikini vile vile na ukawa na watoto wengi wala msipatwe na umasikini! Swala la kuzaliana sio la serikali ni swala la MUNGU, hivyo usiuingilie uumbaji wa Mungu!! Acha watu wazaliane mbona kuna mapori mengi tu! Acha uoga wa maisha
 
Kuna namna unaelezaa vitu kwa uhalisia kbsaaa...nimependa hoja zakoo...watanzania ni wazembe wa kufikiri..Na ni wepesi wa kujifariji...kizazi bora kinatengenezwaa na sio neema za Mungu...tuache kujifariji dunia imebadilika...
 
Ndioo shidaa ya sisi watanzania hatuwezi kutafakari issues Ila tunapendaa mnoo kujifariji....Na ndio maana tupoo hapa tulipoo tumekuwaa taifa la hovyoo
 
Kama watu wasingekuwa wabinafsi na roho mbaya , wangeasili watoto wa mitaani na mayatima ili kupunguza umaskini sio kuzaa kama nyumbu .

Bado nchi ina wtoto wa mitaani kibao bora kuasili .
 
Nimeshangaa huyu makamu wa rais aliyefariki juzi hapo nchi jirani ana watoto wawili yule mjeshi hapo kwa uhuru aliyepotelea kwenye ukungu naye aliacha watoto wawili.
Ndivyo ilivyo wenye pesa wanazaa kwa Mpango na wanazidi kuwa na pesa zaidi. Wakati maskini anazaa hovyo na kuwa maskini zaidi.
 
mfano unataka uniambie kuwa mh kikwete angekuwa hata na watoto kumi angeshindwa kuwatunza?????? Jibu ni hapana!
Mbona unatolea mfano mtu ambaye amezaa kwa Mpango Kisha akaweka mipango yake sawa na kufanikiwa kuwa rais?

Halafu unahitimisha hoja kwa kusema suala la kuzaa tumwachie Mungu. Siyo kweli. Maisha ni mipango, bila mipango ni kuishi-ishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…