FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mbona wapo watu hawana watoto na wanakimbia bili za wake zao pia?Alitelekeza mama mjamzito hospitali akikimbia bili ya tiba/huduma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wapo watu hawana watoto na wanakimbia bili za wake zao pia?Alitelekeza mama mjamzito hospitali akikimbia bili ya tiba/huduma.
Hao wenzetu waliwekeza kwenye elimu kitu kingine Afrika tuna shida ya uongozi ni jambo la kushangaza kuona kiongozi anatumia mabilioni ya pesa kununua boda boda kwaajili ya kufanyia uchaguziWana visima vya mafuta! Wana viwanda,Wazungu wame invest kule,wana mipango mizuri ya maendeleo!
Vipi kwetu?
Hata huyo hakuwa na mtoto ila mke mwenye ujauzito tu.Mbona wapo watu hawana watoto na wanakimbia bili za wake zao pia?
Hao watoto hata mkiwabania hata msipowazaa ninyi umasikini utabaki kwenu mpaka pale mtapoanza kutumia akili zenu kwa ufasaha.Kwani,mara ya mwisho hatukuambiwa tufyatue watoto tu serikali itatufanyia wepesi?Au kauli ilifutwa?
Watoto wanafanana hao unasema kituo cha watoto yatimaHawa ni kwenye kituo cha kulelea watoto yatima, acha kupotosha.
Uzae wengi halafu uje ulaumu serikali sio?Nimeshangaa huyu makamu wa rais aliyefariki juzi hapo nchi jirani ana watoto wawili yule mjeshi hapo kwa uhuru aliyepotelea kwenye ukungu naye aliacha watoto wawili.
Mamndenyi nina watoto wanne naona nilifeli sana ningezaa hata nane.
Watu wazae watoto wengi
Mashoga nao ni watu lazima watajwe au siyo cocastic?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had muhusishe mashoga ndo roho zenu kwatuuu.
Woiiiiih, muwe mnawapa matunzo na malezi sahihi, isijekua ndo mnaongeza wingi wa mashoga.
Kwani huwezi kuongeza wengine mbona bado unadai kabisa?Nimeshangaa huyu makamu wa rais aliyefariki juzi hapo nchi jirani ana watoto wawili yule mjeshi hapo kwa uhuru aliyepotelea kwenye ukungu naye aliacha watoto wawili.
Mamndenyi nina watoto wanne naona nilifeli sana ningezaa hata nane.
Watu wazae watoto wengi
Kukimbia majukumu ni tabia tu ya mtu, kuna watu hata kuoga tu ni shida, ni tabia tu ya kutojali..Hata huyo hakuwa na mtoto ila mke mwenye ujauzito tu.
Kuna namna unaelezaa vitu kwa uhalisia kbsaaa...nimependa hoja zakoo...watanzania ni wazembe wa kufikiri..Na ni wepesi wa kujifariji...kizazi bora kinatengenezwaa na sio neema za Mungu...tuache kujifariji dunia imebadilika...Hawana hata vitendea kazi na mazingira bora ya kufuatilia masuala ya nchi. TV iko moja, sebuleni mko 15+, vitoto vingine vinaumwa, vingine vinalilia katuni , mke anahangaika na mkaa hapo hapo. Baba inabidi akimbilie baa akapate utulivu huko. Kufika huko Nako anakutana na makelele ya baa. Inabidi ajizime data kwa kulewa.
Kwahiyo, unakuta nyumbani ni full vurugu kwasabb ya population density kubwa.
Unajua nature ya pupulation zao au unaropokwa tu.Sweden ni nchi ndogo kwa Tanzania.Na kama idadi ya watu ndiyo chanzo cha umaskini basi Brazil,China na India ndiyo nchi ambazo zingekuwa maskini kuliko zote duniani.Na Afrika Nigeria,Misri,Kenya na Ethiopia ndiyo zingekuwa nchi maskini.
Matoto yake hayana matunzo naogopa yasije kuwa mateja ama vibaka wakaanza kumsumbua mitaani.Huyo boda aliwahi kukuomba pesa ya mboga?
Ndivyo ilivyo wenye pesa wanazaa kwa Mpango na wanazidi kuwa na pesa zaidi. Wakati maskini anazaa hovyo na kuwa maskini zaidi.Nimeshangaa huyu makamu wa rais aliyefariki juzi hapo nchi jirani ana watoto wawili yule mjeshi hapo kwa uhuru aliyepotelea kwenye ukungu naye aliacha watoto wawili.
Hawanywi maji ya kununua hao.Unamaanisha watu milioni 2 ndio wanalipa kodi, umesahau hata ukinunua tu maji ya kunywa kuna kodi unalipa moja kwa moja?
Mbona unatolea mfano mtu ambaye amezaa kwa Mpango Kisha akaweka mipango yake sawa na kufanikiwa kuwa rais?mfano unataka uniambie kuwa mh kikwete angekuwa hata na watoto kumi angeshindwa kuwatunza?????? Jibu ni hapana!