Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Asante sana KirangaKitabu kina mengi sana ya historia ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana KirangaKitabu kina mengi sana ya historia ya Tanzania.
Tanzania tuna hasara Sana ... Ndiomaana population tegemezi haipungui,,, ukiona nchi zaidi ya 45% niwatoto haiwezi kuendelea kamweNonsense.
Ni kweli maendeleo ya Taifa yanaanza na mtu mmoja mmoja kwenye ngazi ya Familia.Tanzania tuna hasara Sana ... Ndiomaana population tegemezi haipungui,,, ukiona nchi zaidi ya 45% niwatoto haiwezi kuendelea kamwe
Watakuwa wakombozi wanaopatikana kwa Bahati na sibu otherwise maandalizi ni muhimu.Wacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Axha kutisha watu wewe.Unaukimbia ukweli. Kipato laki moja kwa mwezi una watoto 6. Upo sawa kichwani?
Hauna uelewa na unachozungumzia,,, kwanza unatakiwa kufaham zaidi ya 43% niwatoto chini ya miaka 15, wengine Kati ya Mika 15- 20 ambao kimsingi bado hajaweza kuzalisha kiyu Ni zaidi ya 10% Wazee Ni juu ya 7% bado hapo Kuna asilimia za vijana wa hovyo ,, hii Ina manaa zaidi ya 60% ya idadi ya watu Tanzania ni tegemezi ,, Taifa Kama hili halitaweza kujitegemea,, lazima kuwepo na juhudi za makusudi za kuwa na sera ya kuzaa watoto wawili ili kuwe na Uwiano sawa hata watatu itasaidia sanaKuzaa na kupata watoto sio tatizo. Tatizo ni kuzaa bila kuandaa mipango ya namna watoto wataishi. Tusipozaliana miaka 20 au 30 ijayo tutaanza kupata gepu la idadi ya nguvu kazi. Watu wengi watakuwa ni wazee vijana active watakuwa ni wachache.
Wazazi wetu walituzaa 5 hadi 12 kwa wastani katika familia zetu. Siku hizi wastani ni watoto 1 hadi 3. Hii ni mbaya sana. Na hawa 1 hadi watatu tunawapata umri umeenda sana kuanzia miaka 30+ hii ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
Mataifa ya magharibi wanataka tusizaliane ili idadi ya watu ipungue iwe chini wao waje kusomba rasilimali. Tukiwa wachache ni rahisi wao kurubuni viongozi wetu kutupatia misaada isiyo na riba wakijifanya ni kusaidia kumbe ile misaada inatufanya tusahau kabisa kuwa kuna kesho na tunaridhika nayo huku wao nyuma ya pazia wakisaini mikataba ya kuhodhi rasilimali zetu kama madini, mafuta, gesi na kadhalika kwa urahisi kabisa.
Tushtuke na tuwe makini. Taifa lolote ili kuendelea linahitaji idadi ya watu kuongezeka na wingi wa wa
Zaa hata watoto 20 kama uwezo wa kuwatunza unao ila km huna uzizalishe ukitegemea serikali ikuleleke mtoto wakoSisi wenye uwezo wacha tuzalishe tu maana mashoga wanaongezeka kwa kasi ya ajabu tukileta uzungu wa kuzaa watoto wawili tumekwisha.
We ni mgumba!? Tuanzie hapo kwanza maana si kwa chuki hizo.Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Nigeria ni shithole country usiweke kabisa kwenye orodha ya nchi zilizojipataMiaka ya zamani China walizaliana Sana ndio maana ikabidi waweke limit siunaona uwingi wao ulivyo saidia Taifa Lao. Angalia Nigeria uchumi wao.
Kama ni baraka za mungu kwanini usizae watoto kumi? Na sio hao wanne?Mimi nipo tofauti na mtazamo wako, kuhusu kuzaa watoto ni Baraka toka kwa Mungu.
Ikiwa Mungu amekujalia kizazi basi zaa accordingly. Acha mawazo ya kusema kuhusu huduma n.k
Wazazi wako walipokuzaa wewe walikuwa hata na baiskeli ? Achilia mbali laki tano bank?
Mimi endapo Mungu ananibariki kupata mke mwema wa kunifaa maishani mwangu, sharti lq kwanza ni utayari wake kuhusu kuzaa.
Ni lazima awe na utayari wa kunizalia watoto wasiopungua wanne and maximum six kids.
Lakini swaga za kizungu eti mtoto mmoja au wawili tu, anipishe kabisa, sitokuwa tayari kuoa mwanamke wa hivyo kwa sababu mwisho wa siku atanipa majaribu ili nikatafute mwanamke mwingine nje ili anizalie mtoto.
Nitampenda sana mke wangu mpenzi LAKINI awe tayari kuhusu suala la kuzaa watoto na sio mtoto mmoja.
Kwani kuna nchi serikali inalea watoto wa raia zake? Ninaposema uwezo ni pamoja na kulea. Au wewe umeelewa vipi?Zaa hata watoto 20 kama uwezo wa kuwatunza unao ila km huna uzizalishe ukitegemea serikali ikuleleke mtoto wako
Huwa mnanichosha mnapozitaja india na nigeria eti ni nchi zilizopiga hatua kiuchumi! Ilhali ni nchi zenye umaskini wa kutupwa yaani ni shithole countries...hiyo china yenyewe almost robo tatu ya watu wake ni maskini wa kutupwa.Kuzaa na kupata watoto sio tatizo. Tatizo ni kuzaa bila kuandaa mipango ya namna watoto wataishi. Tusipozaliana miaka 20 au 30 ijayo tutaanza kupata gepu la idadi ya nguvu kazi. Watu wengi watakuwa ni wazee vijana active watakuwa ni wachache.
Wazazi wetu walituzaa 5 hadi 12 kwa wastani katika familia zetu. Siku hizi wastani ni watoto 1 hadi 3. Hii ni mbaya sana. Na hawa 1 hadi watatu tunawapata umri umeenda sana kuanzia miaka 30+ hii ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
Mataifa ya magharibi wanataka tusizaliane ili idadi ya watu ipungue iwe chini wao waje kusomba rasilimali. Tukiwa wachache ni rahisi wao kurubuni viongozi wetu kutupatia misaada isiyo na riba wakijifanya ni kusaidia kumbe ile misaada inatufanya tusahau kabisa kuwa kuna kesho na tunaridhika nayo huku wao nyuma ya pazia wakisaini mikataba ya kuhodhi rasilimali zetu kama madini, mafuta, gesi na kadhalika kwa urahisi kabisa.
Tushtuke na tuwe makini. Taifa lolote ili kuendelea linahitaji idadi ya watu kuongezeka na wingi wa watu ndio chachu ya kuboost matumizi sahihi ya rasilimali.
Tazama mataifa yanayopiga hatua kwa kasi kama India, china, Nigeria. Yana sifa gani ambayo ni common, si idadi kubwa ya watu?
Wewe leo taifa gani kubwa litakwenda India au china kutaka wachimbe rasilimali zao na watu ni wengi vile wanashida hadi kwenye kucha?
So msidanganyike, wazungu kwanza wao wana low birth rate kwasasa ndio maana wanahofu taifa kubwa kama afrika linavyozaliana kwa kasi na wametudhurumu sana rasilimali zetu tokea miaka yote tukisimama tutawafanya nini siku za baadae. Walimchekea mchina leo tazama anavyowakimbiza kiuchumi na ni juzi tu hapo alikuwa kataifa ka hovyo. Leo afrika ikisimama itakuwaje?
Sasa itasimamaje na watu wanaoogopa kuzaliana kwa wingi unaotakiwa?
Serikali inasaidia malezi ya mtoto wako au wewe hujui hilo?Kwani kuna nchi serikali inalea watoto wa raia zake? Ninaposema uwezo ni pamoja na kulea. Au wewe umeelewa vipi?
Usiniletee kichefuchefu mimi watoto wangu wote nimesomesha kwa hela yangu kuanzia kindergarten hadi University bila mkopo hivyo hizo ngonjera zako sizielewi na ninaelewa ninachozungumza.Serikali inasaidia malezi ya mtoto wako au wewe hujui hilo?
Kuanzia shule, hospital na miundo mbinu yote unayoiona ni sehemu ya malezi ya mtoto wako!
Au unafikiri malezi mpaka serikali imchukue iishi nae ndio ujue kwamba inamlea?
Hahaha..Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.