Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa nikaenda Hospitali wakati tumepanga foleni akaja mama na mtoto wa kiume miaka kama mitano hivi aisee yule dogo akawa anasimama alafu anakuwa kama anapinda hivi anaweka mkono kama kashika penis afu anamsogelea mama ake kama anataka kumkojolea hivii...[emoji16][emoji16][emoji16] mama akampiga kibao akatulia sasa Dr akawaita zamu yao imefika dogo akawa anatembea tena kwa style ile ile nyuma ya mama akee aisee Tuliona aibu sisi...[emoji119][emoji119]

Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...?
Hahaha nimecheka sana
 
Kuna mtoto mmoja babake anacheo cha kijeshi kikubwa. Pale kwao kuna mifugo sasa ukipita na manati ana conclude kuwa leongo lako ni kupiga manati mifugo yao. Yeye hakusemeshi taarufa utaipata kupitia babake mjeshi anayependa sifa.
Huyu mtoto ashawai kukojolea chakula cha wagrni mezani kisha akawatizama walipokuja kula ingawa walistuka.

Kuna mwingine tukiwa primary alijiwejea lebo nyekundu ili asichapwe babake akipoulizwa akasema kweli huyo mtoto mgonjwa. Ikapita kama mwaka. Siku katibua kwao, Yule yule babake alimpa kisago cha maana huku akiwa kamfunga ktika mti mpaka jioni. Taarufa zilipofika shule wakaikata ile lebo nyekundu akawa kosa dogo tu stiki nyingi sana
Hahaha
 
Kuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
Duuh
 
Back
Top Bottom