Kweli ccm vimejaa viajuza ndiyo maana mambo hayakwendi yamegomaaa gomiii!Tabia za Ajuza sometimes
1)kupoteza kumbukumbu
2)Kutofanya kazi kwa ufanisi
3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine.
4)kukosa nguvu na Madini kupungua
5)Kukosa Mvuto.
Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
Ajuza wetu sisi wa hovyo sanaUmeona ehh... halafu akitengua uteuzi, anasingizia, Mshana Jr alinishauri vibaya ndotoni
Hivi wewe ulishawahi kumiliki akili zako tofauti na za kushikiwa?Umeandika Ujinga Tu. Wewe endelea na Matunguri yako tu