Tabia za daladala za kwenu

Dala dala za kwetu, kondakta kuvaa mlegezo halafu nguo zao za ndani chafu balaa, yaani kinyaa tupu.
 
Daladala za kwetu hazina mambo mengi, shida na makondakta wanagombania abiria ukikaa vibaya umechaniwa nguo na wallet hutaiona imepita wapi....
 
Usiombe uje dodoma saa nne wamelala wote njia nyeupe kuna wehu sasa saa mbili kamili wamelala wamekata root [emoji23][emoji23] unaweza tembea kwa miguu wakati ni jiji.
Mkuu kila kazi inamapumziko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…