JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Hakuna ukweli wowote
Umezaliwa mwezi February haya ya July unapataje nguvu kupingaHakuna ukweli wowote
Nimezaliwa JulyUmezaliwa mwezi February haya ya July unapataje nguvu kupinga
Huyu ni Mimi kabisa .....wale woote tuliozaliwa mwezi huu pongezi nyingi kwetu jamani........Inadaiwa hizi ndio tabia na sifa za Watu waliozaliwa mwezi July. Je, kuna ukweli kiasi gani?