Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
Maigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!ile kitendo tu cha kujiweka nafasi ya mwanamke kimawazo na matendo ni dalili tosha mwanaume wa kweli hataki hata kufikiria.
Heehe...ndo zipi hizo?!Na hii nayo vipi!?Kwa kauli hii nabaki na IDs zangu za kike.
kweli kabisa LizzyMmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
LizzyMaigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!
Maigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!
See its all about the WHY and not the WHAT!Ukitumia hii kanuni utakwepa kumake false assumption about alot of things kwasababu unakua na sababu ya kufikiria/amua vile ulivyoamua.Mhh sijawasoma hao watu...labda ntakuomba uniazime kitabu chako hicho niongeze maarifa!!kweli kabisa LizzyActually i was reading something about Joshua Nkomo and Cannon Banana wa zimbabwe (if you had a chance to be there when they were leaders of the good zimbabwe... there was something about Nkomo escaping in a woman dress and Banana's role on that moveThere is a huge correlation when it comes even to ID choices and one would always justify how he/she came up with ID, it is more psychological that most of us thinkNadhani kuna kitabu fulani cha Deepak Chopra kinaeleza vizuri na jamaa ni resource nzuri ya character, hata 'watu wetu' hutumia baadhi ya mbinu kama hizoIt may be more subconscious but there is a truth in it
Hahhaha...now thats unfair MTM!Hapo kigezo kikuu kitakachowatofautisha ni umri na mwili...otherwise hata Arnold akitaka kumdanganya mtu yeye ni mwanamke kwenye mtandao au simu bila kuonekana anaweza akafanikiwa zaidi kuliko Justin!Lizzydo you know kwamba hata mwanaume anayeigiza kama demu kuwa na element zaidi za ile nafasi anayoact? unaweza imagine Schwaznegger na Justin Bieber yupi atafit kwenye nafasi ya mwanamke kama wakiigiza?
check basi seal na neeyoHahhaha...now thats unfair MTM!Hapo kigezo kikuu kitakachowatofautisha ni umri na mwili...otherwise hata Arnold akitaka kumdanganya mtu yeye ni mwanamke kwenye mtandao au simu bila kuonekana anaweza akafanikiwa zaidi kuliko Justin!
Haaha!Well inawezekana ikawa ndivyo au sivyo...wahusika peke yao ndo wenye uhakika na hili.Hapo uliposema persona za hapa zina chembechembe za tulivyo katika uhalisia wetu nakwambia USIDANGANYIKE.Na nnasema hili nikiwa na uhakika kabisa....wengine ndio na wengine ni the total opposote of what you see here!!aisee mimi nastick kua mwanaume wa kweli hawezi kuva huo uhalisia labda kwa mda mfupi lakini hio id ina miaka mi 3 unafikiri bado hana hizo chembe? na hata hivyo tabia tunazo portray jf zina uchembe wa the real us.
Haaha!Well inawezekana ikawa ndivyo au sivyo...wahusika peke yao ndo wenye uhakika na hili.Hapo uliposema persona za hapa zina chembechembe za tulivyo katika uhalisia wetu nakwambia USIDANGANYIKE.Na nnasema hili nikiwa na uhakika kabisa....wengine ndio na wengine ni the total opposote of what you see here!!
Hahahaha....same thing.Mtu kutumia ID ya kiume hakumpi urijali asionao wala anaetumia ya kike haimpunguzii kama anao!!check basi seal na neeyo
Bado hakumfanyi awe nazo...kama hana hana tu!!!swali kwako kama mtu ni mfinyu wa mawazo anaweza fake hapa jf kwa kua mfikra?
Bado hakumfanyi awe nazo...kama hana hana tu!!!
NDIO anaweza sana tu!!usizunguke hilo swali linahitaji ujibu ndio au hapana.