Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
Mkuu
Mi nadhani ishu si majina, maana majina mengine hapa hayana dalili za jinsia yoyote
Pia ni muhimu kujua jinsia ya anaechangia. Umri, urefu, rangi, kabila n.k. havina maana kabisa hapa labda kama wewe mwenyewe unataka kujua mtu fulani, na inapaswa uende nae PM.
Mfano umechangia mada ya Mbu ukaelezea uzoefu wa kuishi ya mkeo alivyokuwa muongo
Then ukaja kwenye mada ya MTM ukadai unapenda uolewe na mwanaume wa kimasai
Na kama vile haitoshi, unaomba ushauri wa kula uroda na baba mkwe wako. Mara unaanzisha thread ya kutafuta mke??!!
Sasa wana MMU waelewe unazo jinsia zote mbili au?
Sasa mkuu tatizo liko wapi hapo?? Si tunafuata hoja iliyopo kwenye sredi... au watu wajitambulishe kwanza wanachangia kama wanawake au wanaume?? Maana maelezo yako yanaonekana kusupport kutokuwepo haja ya kumjua mtu jinsia, au bado sijakuelewa?