Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Mkuu
Mi nadhani ishu si majina, maana majina mengine hapa hayana dalili za jinsia yoyote
Pia ni muhimu kujua jinsia ya anaechangia. Umri, urefu, rangi, kabila n.k. havina maana kabisa hapa labda kama wewe mwenyewe unataka kujua mtu fulani, na inapaswa uende nae PM.

Mfano umechangia mada ya Mbu ukaelezea uzoefu wa kuishi ya mkeo alivyokuwa muongo
Then ukaja kwenye mada ya MTM ukadai unapenda uolewe na mwanaume wa kimasai
Na kama vile haitoshi, unaomba ushauri wa kula uroda na baba mkwe wako. Mara unaanzisha thread ya kutafuta mke??!!
Sasa wana MMU waelewe unazo jinsia zote mbili au?

Sasa mkuu tatizo liko wapi hapo?? Si tunafuata hoja iliyopo kwenye sredi... au watu wajitambulishe kwanza wanachangia kama wanawake au wanaume?? Maana maelezo yako yanaonekana kusupport kutokuwepo haja ya kumjua mtu jinsia, au bado sijakuelewa?
 
hahaha Hommie mbona unaua hivyo?
Minjemba yenye ID za kike mmesikia? hii ni dalili za......???
 
Mkuu
Mi nadhani ishu si majina, maana majina mengine hapa hayana dalili za jinsia yoyote
Pia ni muhimu kujua jinsia ya anaechangia. Umri, urefu, rangi, kabila n.k. havina maana kabisa hapa labda kama wewe mwenyewe unataka kujua mtu fulani, na inapaswa uende nae PM.

Mfano umechangia mada ya Mbu ukaelezea uzoefu wa kuishi ya mkeo alivyokuwa muongo
Then ukaja kwenye mada ya MTM ukadai unapenda uolewe na mwanaume wa kimasai
Na kama vile haitoshi, unaomba ushauri wa kula uroda na baba mkwe wako. Mara unaanzisha thread ya kutafuta mke??!!
Sasa wana MMU waelewe unazo jinsia zote mbili au?
sema wewe mkuu, mie naona mashkolomageni
 
ni kweli mkuu, ila with mmu and relatde issues, hii ya gender/sexual orientation becomes an issue

Okay, let's say that's an issue in that part of the forum. But how would you tell apart the case for unisex names, such as Maty, Kulwa, Doto, etc... would you rely on their avatars or a little intro by members about their gender?!
 
Chek avatar yangu utapata jibu,hiyo kitu ni tamu sana.
Yakhe si wajua kule kwetu makorora watu wakiisha kuhisi na vidalili hivyo kama uko msibani usiende haja vichakani maana wataenda angalia ati na kugundua wewe ni walewale au sio!
 
Na wanawake wenye majina ya kiume nao vipi?!!

Mkuu MTM, lakini hapa si tunasema tunafata hoja za members na siyo nani anayechangia, au..??

Kama ni muhimu kutambuana kwa jinsia, vipi characteristics nyingine za maumbile na asilia kama - umri, kabila, rangi, urefu, n.k... je nazo zitakuwa muhimu kuzitambua?!

Wakuu mmejikuta mnasarandia madume nini... lol 🙂



kuna mada unahitaji zaidi michango ya me nyingine ya ke anaejifanya ni ke hali ni me anapotosha na saingine utamjua tu.
 
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala nawakilisha and no harm intended
Sidhani kama ni mawazo yako au umesoma vitabu. Watoto au mtu anapozaliwa huwa anatawaliwa na mambo mawili makuu ingawaje inaweza kuwa zaidi ya hayo. 1. Ni asili (nature) hii ni mtu mwenyewe alivyorithi ule ubinadamu. Kwa kifupi huzaliwa kama mtu na si mbuzi kwa mf. Ndo maana mbuzi anazaa mbuzi na mtu anazaa mtu. Hapa mtoto huwa na viungo aidha vinavyompambanua kama mke au mume. 2. Mazingira (environment)hapa ndo pana umuhimu wa pekee kulingana na maelezo yako. Mtoto anapozaliwa au akiwa tumboni mfano akiwa tumboni mama anaweza kupata ugonjwa au mafadhaiko yoyote toka kwenye mazingira. Pale anapozaliwa suala la kuvaa kama mume au mke si lazima. Hakuna aliyeumbwa anazijua nguo, mikufu au bangili tuseme ukweli. Hii hutokana na pale alipozaliwa amekuta nini. Kwamfano mtu akizaliwa kwenye familia ambako hakuna mwanamke ata 1, akakua basi kama na wa kike moja kwa moja atakuwa na tabia za kiume. Akikuta kuna kina mama peke yake kama ni wa kiume atakuwa kama akina mama piga ua. Ni vyema kujua kuwa mtoto wa kiume wa uswahilini ataitika abee, akiwa wa kiume na kutembea kwa kujiachia kama si kutunisha makalio ili afanane na mama au wale wanawake anaokaa nao HAPA NI KUWA MAKINI NA TABIA ZA MWANAO, kuna uwezekano MKUBWA sabababu ya 2 ikampeleka kwenye USHOGA. HABARI NDO HIYO
 
arifu kama unamjua kwanini usimwi ignore tu??



kumjua kama ni me au ke haina mana kila mara anatoa pumba mfano mzuri nazjaz anaongea pumba yule but kuna uzi zake zimetulia hivo

ju ya memba kufuata lipi zuri lipi baya.
 
Tabia zakishoga,halafu utakuta watu kama hao awkosi kwenda kwa mzee yusufu(kwenye taarabu)nao wakiimba msumarii huo
teheeee teheeeeeeeeeeeeeee
 
Namuhitaji Bwabwa aje kuchangia kwenye hii post atakuwa na mengi mazuri yakutuambia.
 
so wale wanaoappear na kuchangia kama wanaume wakati ni wanawake tusemeje?
 
Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
 
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo

Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu

Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala

nawakilisha and no harm intended

Mpwa

Kumbuka All generalization are false including this onehttp://thinkexist.com/quotation/all_generalizations_are_false-including_this_one/216596.html
 
Back
Top Bottom