Ninakubaliana nawe Mkuu, nimeuliza swali hili nikiwa na hofu, kwanza, ya kuwakwaza wanawake kwani si kila mwanamke huwa na tabia hiyo, pili sioni kama kuna uhusiano mkubwa na baadhi ya hizo sifa ulizozitaja, ukiwachia kulia na kuwa sensitive kwa sababu ya ubinadamu wao.Hiyo inatokana na kuhusisha udhaifu (wa aina yoyote ile) na uanamke.Ndio maana hua haitumiwi positively. . . kwasababu inahusiana na mtu kuwa mdhaifu katika nyanja fulani.
Mf. kulia,kuongea sana,kuwa mmbea/mchonganishi, kulalamika, kutoweza kujitetea, kununa, kuwa sensitive n.k
Binafsi hua nakwepa sana kutumia hayo maneno maana hayana maana nzuri kwa mwanamke.Pia inatengeneza mentality ya kutokua huru haswa kwa watoto wa kiume.Ndio maana kwenye jamii yetu bado kuna ugumu kwa wanaume kueleza/onyesha hisia zao za kweli.
Umenichekesha sana. Unataka kusema hata wanaume wenye tabia alizozitaja na zile alizo taja Husninyo, wanaweza kuishia kumegwa? Pole zao!tabia za kike badala ya ku-fight waishia kulalamika kuseek attention ili usaidiwe, kuskilizwa na hatimae kumegwa.
This is most interesting! Kwa wanawake hizoingawa zimeenea lakini nahisi wameingia katika uwanja sio wao huku wakijidai ni vidume vya mbegu.Kupaka poda, vaa hereni, suka nywele, tinda nyuzi, paka wanja.