Tabia za kuku

Ukificha kichwa chake ndani ya mabawa yake, haendi popote pale, atasimama hapo hapo...

Alafu kuku ni kiumbe kinachojishtukia sana...
hahah mkuu hiyo ya kujishtukia ni kweli kabisa ila je ukificha mbawa zake kichwani kwake Ataenda wapi?..yaani mfano upoteze uoni (macho) wako Utazijua hata foleni za posta wewe?

Jigo
 
Kama hana kumbu kumbu ya jana mbona huwa anakumbuka alikotaga
 
Bora uitwe nyumbu, siyo kenge kwasababu nyumbu wakiwa wanavuka mto wanaingia na biti kali hadi mamba wenyewe wanapay attension.
 
Mshana jr mzee usiekaukiwa na vijimambo na vihoja hebu nijibu hili swali,kama kuku hana kumbukumbu ya jana inakuwaje ukitoa yai moja haendelei kutaga,kwanini ameweza kujua there is missing eggy how is that possible!!!!! [emoji15]
 
Kenge ana akili mbovu kabisa yeye matone ya mvua yakianza kumdondokea tu hukimbia haraka na kuingia mtoni sasa sijui huwa anawaza nini
teh teh teh..anataka awe wa kwanza kuonja maji mapya mtoni

Jigo
 
Mshana jr mzee usiekaukiwa na vijimambo na vihoja hebu nijibu hili swali,kama kuku hana kumbukumbu ya jana inakuwaje ukitoa yai moja haendelei kutaga,kwanini ameweza kujua there is missing eggy how is that possible!!!!! [emoji15]

mkuu sijui kama atakujibu! hili swali lina utata sana kwenye hoja yake!

Jigo
 
Mshana jr mzee usiekaukiwa na vijimambo na vihoja hebu nijibu hili swali,kama kuku hana kumbukumbu ya jana inakuwaje ukitoa yai moja haendelei kutaga,kwanini ameweza kujua there is missing eggy how is that possible!!!!! [emoji15]
Unajua kwanini anabakishiwa moja? Ni kuboost kumbukumbu toa yote uone
 
Kuku akitotoa ukamnyang`anya vitoto vyote atavitafuta hata baada ya Kesho yake.

Kuku anakumbuka mahali anapolala.

Ukiweka pumba mahali kuku atapakumbuka atapavizia kila siku.

Anakumbuka anapotagia.
 
mwambieni huyo.
 
Mshana jr mzee usiekaukiwa na vijimambo na vihoja hebu nijibu hili swali,kama kuku hana kumbukumbu ya jana inakuwaje ukitoa yai moja haendelei kutaga,kwanini ameweza kujua there is missing eggy how is that possible!!!!! [emoji15]
hawezi kujibu. anachugulia tu. tehe tehe
 
Mkuu Mshana Jr mmezidiana kete nn na Chacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…