Tabia za kuku

Tabia za kuku

Mkuu ngafu.fijo hapo shida ni nani amkuli mwenzake,
Ngoja tuendelee kuangalia movie.
 
-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea.

-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini.

-Akitaka kusikiliza kitu lazima ageuze shingo kuweza kunasa mawimbi ya sauti.

-Hana kumbukumbu ya jana, akiamka uelekeo akaokwenda ndio huohuo.

-Ukimpiga kidogo tu kichwani anapoteza mwelekeo wote na kuchanganyikiwa kabisa.

- Hawezi kurudi rivasi hata kwa fimbo.

Mtu akikwambia una akili kama za kuku msamehe tu kwakuwa hajui alisemalo.
Hakika huu ni uzushi wa hali ya juu. Ni sawa na uhaini. Wewe unastahili adhabu kubwa sana.
 
Samahani wadau naomba nisaidieni namna ya kubadili email niliyojiungia kwenye jf tafadhari
 
Mkuu Si Kweli !!..Yaani Akumbuke kuongoza na kufika katika kiota chake kwa malengo ya kutaga alafu hasikute mayai yake Ila hasiendelee kutaga ndo unaita kusahau?....hapo hasau ila amestuka kuna bwege anamchezea mchezo mchafu!!

Jigo
Hahaha we jamaa hajatulia kabisa
 
Back
Top Bottom