Tabia za Lugha

Tabia za Lugha

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Lugha ina tabia nyingi moja wapo ikiwa ni kukua.

Nawe endeleza tabia moja ya lugha unayoifahamu.
 
Kila mtu, wakati wa utoto wake, anavumbua dhana ya lugha. Mama hawezi kumwambia mtoto, "mwanangu njoo nikuambie hivi kuna kitu kinachoitwa lugha" kwa sababu huyo mtoto bado haelewi lugha yo yote. Ni kazi ya kila mtoto akijifunza jifunza kutambua kwamba sauti zinazotoka kwa mdomo wa mama ndizo maneno yenye maana kwa ajili ya mawasiliano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom