Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mi nmecheka sn bila hata ya kusikia maelezo yake😂 😂 Yani akikuelezea inabidi ujizuie tu kucheka
Huyo keshakuuzia mechi kiaina. Nenda kamfanyie mkewe hivyo vitu ambayo anasema hawezi, halafu umfundishe huyo mke kwamba asimdai tena mumewe mambo hayo. Tatizo kwisha.Habari ndugu zangu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu, yeye alioa mwaka uliopota tukaenda kusherehekea kaoa mtoto wa kipwani then